
HAWA HAPA NI NAMBA MOJA KWENYE LIGI BORA AFRIKA
KWENYE ligi namba sita kwa ubora Afrika, kiungo wa Azam FC, Feisal Salum ni namba moja kwa pasi za mwisho akiwa nazo 9 na katupia mabao manne. Ipo wazi kuwa Azam FC wnatumia Uwanja wa Azam Complex kwenye mechi za nyumbani wamekuwa kwenye ubora wao katika mechi za hivi karibuni na walipokamilisha mechi 15 walikuwa…