
MNYAMA KAFANYA YAKE JIONI, KIBU AZUA BALAA ZITO
MNYAMA Simba kwenye anga la kimataifa amefanya yake kwa kukomba pointi tatu mbele ya wapinzani wao Waarabu kutoka Tunisia kwa kupata ushindi jioni katika dakika za lala salama. Baada ya dakika 90 ubao umesoma Simba SC 2-1 CS Sfaxien ambapo hawa walianza kufunga bao mapema dakika ya 3 kupitia kwa Hazem Hassen akitumia makosa ya…