
MASHUJAA YAMFUTA KAZI KOCHA MKUU MOHAMED ABDALLAH ‘BARESS’
Klabu ya Mashujaa Fc imethibitisha kumfuta kazi kocha mkuu Mohamed Abdallah ‘Baress’ baada ya kufikia makubaliano ya kuvunja mkataba na kocha huyo kufuatia mwenendo usioridhisha wa klabu hiyo vikiwemo vipigo viwili mfululizo dhidi ya Yanga Sc (5-0) na Singida Black Stars (3-0) Taarifa ya Februari 26 iliyotolewa na klabu hiyo imeeleza kuwa Uongozi wa klabu…