
ANFIELD LIVERPOOL WAMEGAWANA POINTI NA BRIGHTON
VIJANA wa Brighton wameupiga mwingi kweli, wakiwa Uwanja wa Anfield kwa kuwapa tau Liverpool katika mchezo wa Ligi Kuu England. Dakika 90 ubao ulisoma Liverpool 3-3 Brighton huku nyota Leondro Trossard akitupia mabao matatu kwenye mchezo huo. Alianza dakika ya 4 mapema kabisa kisha akaongeza msumari wa pili dakika ya 17 na 83 ikiwa ni…