BEKI MAGUIRE APATA WATETEZI HUKO

NAHODHA wa timu ya Taifa ya England, Harry Kane na beki  Luke Shaw wameibuka na kumtetea mchezaji mwenzao, Harry Maguire. Beki huyo alifanya makosa mawili yaliyopelekea kufungwa mabao mawili kwenye mchezo uliochezwa Jumatano. England ililazimisha sare ya kufungana mabao 3-3 dhidi ya Ujerumani kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Wembley ukiwa ni wa Michuano ya Kimataifa…

Read More

SIMBA KWENYE DAKIKA 90 NYINGINE ZA KAZI LEO

KWENYE mchezo wa kirafiki dhidi ya Malindi uliochezwa Uwanja wa Amaan kipa namba tatu wa Simba, Ally Salim aliweza kuonyesha uwezo wake kwa kuanza kikosi cha kwanza. Leo Septemba 28,2022 kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Juma Mgunda kina kazi ya kusaka ushindi kwenye mchezo mwingine dhidi ya Kipanga FC ndani ya dakika 90….

Read More

MALINDI YAWAIBUA KAPAMA NA BANDA, KESHO KAZI NYINGINE

PETER Banda na Nassoro Kapama wameibuliwa na Malindi FC kwenye mchezo wao wa kirafiki uliochezwa Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Kwenye mchezo huo uliochezwa juzi, ubao ulisoma Malindi0-1 Simba huku bao la ushindi likifungwa na Nassoro Kapama dakika ya 13. Bao hilo ni la kwanza kwa Kapama ambaye ameibuka ndani ya Simba akitokea Kagera Sugar na…

Read More

YANGA WATAMBA WANAPIGA POPOTE

HUKU wengi wakiamini Yanga SC kuanzia nyumbani katika mchezo wa hatua ya kwanza Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Hilal itawazuia kufuzu hatua ya makundi, kocha msaidizi wa timu hiyo, Cedric Kaze ameibuka na kushusha presha kwa kusema kikosi chao kinaweza kupata ushindi popote. Yanga ambao ni mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, wamefuzu…

Read More

SIR FERGUSON ALIKUWA ANAWAITA ARSENAL ‘WATOTO’

 RIO Ferdinand amefichua kuwa Sir Alex Ferguson alikuwa akiwaita Arsenal, ‘Watoto’ili kuamsha ari ya wachezaji wake wa Manchester United wakawachape wanapokutana. Beki huyo wa zamani wa Man United amefichua kuwa Fergie daima alikuwa anawaambia wachezaji wake kuwa ‘nendeni mkawafunge watototo hao’ wakati akizungumza nao kwenye vyumba vya kubadilishia nguo. Ferdinand alisema:”Sir Alex Ferguson alikuwa akisema…

Read More