
BETO YA CHAMA NA FEISAL KWENYE LIGI KUU BARA NI NOMA
VIUNGO wawili kazi kwelikweli wakiwa wanapambana kutimiza majukumu yao kwa kasi kubwa
VIUNGO wawili kazi kwelikweli wakiwa wanapambana kutimiza majukumu yao kwa kasi kubwa
MZARAMO wa Simba ameweka wazi kuwa mpira ambao wameupiga Simba ni mkubwa wale ambao wanadai wamebebwa hilo sio kweli kwa kuwa ulipigwa mpira mkubwa wakati wakiibuka na ushindi wa mabao 5-0 Mtiwa Sugar
Baada ya mechi 5 za mwanzo kuchezwa, sasa hii ni mechi ya 6 ya kuamua ni nani atafuzu hatua ya 16 bora, nani ataenda Europa nani kufungashiwa vilago UCL, wakati huo Man City, Chelsea, Napoli, Madrid, Inter Milan na PSG, Liverpool, Dortmund, Porto na Club Brugge, Bayern, Benfica wapo sehemu salama, wakati Kundi D yeyote…
KELELE za mashabiki uwanjani zina raha yake lakini hazipaswi kuwa kigezo cha kuwapa presha waamuzi kufanya maamuzi ambayo ni maumivu kwa wengine. Kumekuwa na mwendo ambao haufurahishi kwa waamuzi kufanya maamuzi ambayo wanayajua wao wenyewe huku wakipewa shinikizo na mashabiki. Hakuna suala hilo kwenye kazi hasa ambayo inasimamia taaluma ndani ya dakika 90 kikubwa ni…
AZAM FC ina kibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ihefu leo Oktoba 31. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex saa 1:00 usiku. Azam FC itaingia uwanjani ikiwa imetoka kushinda bao 1-0 dhidi ya Simba na kusepa na pointi tatu mazima huku kipa wao Ali Ahamada akifanikisha ngome…
UONGOZI wa Yanga umetangaza kugawa bure tiketi 10,000 za mchezo wa Yanga dhidi ya Club Africain ya nchini Tunisia kwa mashabiki watakaochanja chanjo ya Uviko-19. Yanga wanatarajiwa kukutana na Club Africain Novemba 2 katika mchezo wa kwanza wa Kombe la Shirikisho Afrika kuwania kufuzu hatua ya makundi ya michuano hiyo, kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar….
KIUNGO wa kazi ngumu ndani ya kikosi cha Simba, Mzamiru Yassin amerejea na nyota kali kwa kuwa miongoni mwa waliofunga mabao kwenye mchezo wa leo dhidi ya Mtibwa Sugar. Baada ya dakika 90 kukamilika, ubao wa Uwanja wa Mkapa umesoma Simba 5-0 Mtibwa Sugar na kuifanya Simba kusepa mazima na pointi tatu. Mzamiru alifungua pazia…
Meridianbet Soka Bonanza wiki hii lilikuwa pale maeneo ya Yombo Kiwalani, kwenye ule uwanja wenye historia kubwa ya matukio ya kimichezo, na timu nzima kutoka Meridianbet iliandika historia nyingine ya kuwapa burudani ya msimu wakazi wa maeneo hayo kwa Soka safi na Zawadi za kutosha kama Jezi, Mipira, Soksi na Glovu na zawadi nyingi….
KALI Ongala, Kaimu Kocha Mkuu wa Azam FC amesema kuwa wachezaji wa timu hiyo wana uwezo mkubwa hivyo hawahitaji kupewa mambo mengi wa kuzikabili timu kongwe Bongo Simba na Yanga. Msimu wa 2022/23 timu ya kwanza kuwatungua Simba inayonolewa na Kocha Mkuu Juma Mgunda ni Azam FC ambapo iliibuka na ushindi wa bao 1-0 huku…
UWANJA wa Falmer Brighton wamebaki na pointi tatu zote mazima kwa ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Chelsea mchezo wa Ligi Kuu England. Bao la ufunguzi lilijazwa kimiani na Leandro Trossad dakika ya 5, Ruben Loftur-cheek alijifunga dakika ya 14 na Trevoh Chabobah alijifunga dakika ya 42 na kufanya mapumziko Brighton kuwa wanaongoza. Kipindi cha…
MABAO mengi yamefungwa mazuri na makali ndani ya Ligi Kuu Bara msimu wa 2022/23 hapa ni baadhi ya mabao makali Bongo namna hii
RAIS wa Yanga, Injinia Hersi Said amesema kuwa wanaimani ya timu hiyo kukamilisha mpango wa kufuzu hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika. Novemba 2,2022 Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi ina kibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Club Africain ya Tunisia, Uwanja wa Mkapa. Injinia amesema:”Nataka…
WAARABU wambeba Mayele, Bosi Simba amkingia kifua Mgunda ndani ya Spoti Xtra Jumapili
DAKIKA 45 za jasho zimekamilika Uwanja wa CCM Kirumba ambapo ubao umesoma Geita Gold 0-1 Yanga. Kwenye kikosi cha Yanga kiungo Feisal Salum alianza na alikuwa akipambana kwa nguvu kubwa na nyota wa zamani wa timu hiyo Adeyum Saleh. Bao pekee la ushindi limefungwa na kiungo Bernard Morrison kwa pigo la penalti dakika ya 45….
UWANJA wa Falmer ni Brighton wanaongoza kwa mabao 3-0 dhidi ya Chelsea mchezo wa Ligi Kuu England. Ni dakika 45 za maumivu kwa Chelsea kwa kuwa nyota wake wawili wamejifunga kwenye mchezo wa leo. Bao la ufunguzi ni mali ya Leandro Trossad dakika ya 5, Ruben Loftur-cheek alijifunga dakika ya 14 na Trevoh Chabobah alijifunga…
BAO la penalti limefungwa na Bernard Morrison dakika ya 45 na kuwapeleka Yanga mapumziko Uwanja wa CCM Kirumba wakiongoza mbele ya Geita Gold. Mwamuzi wa kati anajua kuhusu penalti hiyo namna ilivyoweza kuamuriwa kwa kuwa alikuwa karibu na mpira. Kutokana na penalti hiyo wachezaji wa Geita Gold walionekana wakilalamika na kupelekea Ayoub Lyanga kuonyeshwa kadi…
KUHUSU Erasto Nyoni kuanza kikosi cha kwanza Juma Mgunda huyu hapa anafunguka