
FEISAL KUONGEZA ZAIDI JUHUDI YANGA
KIUNGO wa Yanga, Feisal Salum amesema kuwa atazidi kuongeza juhudi katika kutengeneza nafasi na kufunga pale anapopewa nafasi ya kucheza. Kiungo huyo mzawa ni namba moja kwa mastaa wenye mabao mengi ndani ya Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi. Bao lake la nne alipachika kwenye mchezo wa ligi dhidi ya KMC uliochezwa Uwanja wa…