
KIUNGO WA KAZI ANAREJEA SIMBA
SADIO Kanoute, kiungo mgumu ndani ya kikosi cha Simba hali yake inazidi kutengemaa mdogomdogo baada ya kuugua ghalfa kabla ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga. Nyota huyo raia wa Mali hakuwa sehemu ya mchezo dhidi ya Yanga uliochezwa Uwanja wa Mkapa, Oktoba 23 na kukamilika kwa sare ya kufungana bao 1-1 kutokana…