
MERIDIANBET SOKA BONANZA NI NURU KWA VIPAJI VYA VIJANA
Meridianbet Soka Bonanza wiki hii lilikuwa pale maeneo ya Yombo Kiwalani, kwenye ule uwanja wenye historia kubwa ya matukio ya kimichezo, na timu nzima kutoka Meridianbet iliandika historia nyingine ya kuwapa burudani ya msimu wakazi wa maeneo hayo kwa Soka safi na Zawadi za kutosha kama Jezi, Mipira, Soksi na Glovu na zawadi nyingi….