MTAMBO WA MABAO SIMBA WAFICHUA SIRI YA KUTUSUA

MKALI wa kucheka na nyavu ndani ya kikosi cha Simba, Moses Phiri amesema kuwa kikubwa ambacho kinampa nafasi ya kufanya vizuri kwenye mechi anazocheza ni ushirikiano na wachezaji wote wa timu hiyo. Kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika katupia mabao matano na kwenye Ligi Kuu Bara katupia mabao matano na kumfanya awe ametupia mabao 10 msimu…

Read More

MAYELE: BADO TUNA NAFASI KIMATAIFA

NYOTA wa Yanga, Fiston Mayele amesema kuwa bado wana nafasi ya kufanya vizuri kwenye mechi za kimataifa kwa kuwa morali bado ipo. Nyota huyo ambaye kwenye mechi dhidi ya Zalan FC alifunga jumla ya hat trick mbili, mchezo wa kwanza na ule wa pili ni namba moja kwa utupiaji ndani ya Yanga. Alianza kikosi cha…

Read More

DILUNGA AFICHUA KUHUSU SIMBA

KIUNGO Hassan Dilunga ambaye kwa sasa anajiuguza majeraha yake, amesema kuwa amekuwa akiwaambia wachezaji wa timu hiyo kupambana kuwapa furaha mashabiki.  Nyota huyo ambaye alijiunga na Simba akitokea Mtibwa Sugar kwa sasa kandarasi yake imemeguka na hajaongezewa mkataba mwingine akiwa ni huru. Ikumbukwe kwamba Dilunga hakutambulishwa siku ya Simba Day ambayo ilitumika kuwatambulisha wachezaji wapya…

Read More

MZAWA SIMBA APEWA TUZO YA MCHEZAJI BORA

 MZAWA Mzamiru Yassin amechaguliwa kuwa mchezaji bora kwa mwezi Oktoba. Ni kupitia tuzo ya Mchezaji Bora wa Mashabiki (Emirate Aluminium Profile Simba Fans Player of the Month) mwezi Oktoba. Nyota huyo amewashinda wenzake ambao waliingia nao fainali ya kuwania tuzo hiyo ikiwa ni Joash Onyango na Augustine Okrah. Kiungo huyo ni chaguo la kwanza la…

Read More

MGHANA ABADILISHIWA MAJUKUMU SIMBA

KOCHA Mkuu wa Simba Juma Mgunda, amesema amembadilishia majukumu ya uchezaji kiungo wa timu hiyo, Augustine Okrah raia wa Ghana kutoka namba kumi nakumpeleka winga moja kwa moja ambapo anafanya vizuri. Mghana huyo ni kati ya wachezaji wapya waliosajiliwa na Simba msimu huu kwa ajili ya kukiongezea nguvu kikosi hicho. Kiungo huyo katika michezo mitatu…

Read More

YANGA NGOMA NGUMU MBELE YA WAARABU

MCHEZO wa mtoano Kombe la Shirikisho Afrika ikiwa Uwanja wa Mkapa, Yanga imekubali ubao kusoma 0-0 Club Africain na kufanya ngoma kuwa ngumu ikiwa nyumbani. Ulikuwa ni mchezo wazi kwa timu zote mbili ambazo zilikuwa kwenye msako wa ushindi kupiga hatua moja kuelekea kwenye hatua ya Makundi ya Kombe la Shirikisho. Kete ya kwanza ya…

Read More

KIBU MSHAMBULIAJI WA SIMBA MAMBO BADO KWAKE

BADO hajawa tegemeo ndani ya kikosi cha Simba msimu huu kwenye safu ya ushambuliaji ambapo kwenye mabao 17 yaliyofungwa na timu hiyo katoa pasi moja ilikuwa dhidi ya Tanzania Prisons, Uwanja wa Sokoine alimpa mshikaji wake Jonas Mkude. Mchezo huo ulikuwa ni wa kwanza wa Kocha Mkuu Juma Mgunda kuongeza kwenye ligi baada ya kupewa…

Read More

YANGA:WACHEZAJI WAMEKUBALIANA KUFANYA KWELI KIMATAIFA

 UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa wachezaji wote wamekubaliana kufanya vizuri kwenye mechi za mtoano ili kufika mbali kimataifa. Yanga leo ina kibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo wa mtoano dhidi ya Club Africains mchezo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa.  Ofisa Habari wa Yanga, Ally Kamwe amesema kuwa wachezaji wote wana morali kubwa kuelekea mechi…

Read More