MAYELE ABAINISHA KWAMBA HAWAJAHI ILI WAFUNGWE

FISTON Mayele, mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa hawajawahi kuelekea nchini Tunisia ili wafungwe bali watajitahidi kutafuta ushindi. Kikosi cha Yanga kina kibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Club Africain kwenye mchezo unaotarajiwa kuchezwa kesho Novemba 9,2022. Tayari kikosi hicho kipo nchini Tunisia kwa ajili ya maandalizi ya mwisho ya…

Read More

WEKA KANDO KUSHINDWA KUSHINDA NYUMBANI,KIMATAIFA KAZI

 WEKA kando suala la kukosa matokeo kwenye mechi za kimataifa bado kwa wawakilishi wa kimataifa kwenye mechi za kimataifa kazi inaendelea kwa kuwa muhimu kupata matokeo. Tunaona mchezo wa kwanza uliochezwa Uwanja wa Mkapa ilikuwa ngumu kwa wawakilishi wa Tanzania kwenye Kombe la Shirikisho Yanga kupata matokeo mazuri na sasa wana kazi nyingine ugenini. Utani…

Read More

SIMBA YAWAFUATA SINGIDA BIG STARS

KOCHA Mkuu wa Simba, Juma Mgunda amesema kuwa wanatambua mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Singida Big Stars utakuwa na ushindani mkubwa. Kikosi cha Simba leo Novemba 7 kimesepa Dar ambapo kitapitia Dodoma kabla ya kuibukia Singinda. Mchezo huo wa ligi unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Liti ukiwa ni wa pili kwa Simba kucheza…

Read More

MAN UNITED YAPATA TABU MBELE YA VILLA

 ASTON Villa ikiwa Uwanja wa Villa Park imewashushia balaa zito Manchester United kwa kufunga mabao yote manne wakati wakishinda 3-1. Ni Leon Bailey alipachika bao la ufunguzi dakika ya 7 kisha Lucas Diagne alipachika bao la pili dakika ya 11. Pia mabao mawili yalifungwa kupitia kwa Jacob Ramsey wa Villa ambaye alijifunga dakika ya 45…

Read More

ARSENAL WASHINDA DARAJANI SASA NI NAMBA MOJA

WAKIWA Uwanja wa Stamford Bridge, Arsenal wamesepa na pointi tatu jumlajumla kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Chelsea. Bao pekee la ushindi limefungwa kipindi cha pili baada ya dakika 45 za mwanzo ngoma kuwa nzito kwa wote. Ni Gabriel amepeleka furaha Arsenal kwa kupachika bao hilo dakika ya 63 na kuwafanya mashabiki kushangilia kwa…

Read More

MKONGWE PIQUE AWAAGA BARCELONA

MKONGWE wa kazi ndani ya uwanja alikwama kuzuia machozi yasimtoke wakati akiwaaga mashabiki wake. Alizungumza mengi ikiwa ni pamoja na maneno haya:- “Nitawakumbuka na nina amini nitarudi kwa wakati mwingine lakini sitakuwa ni mchezaji wakati nitakaporudi,” ni Gerard Pique amebainisha hayo ndani ya Uwanja wa Nou Camp. Ilikuwa ni Novemba 5,2022 wajati ubao ukisoma Barcelona…

Read More

SAKA AZUA HOFU KUELEKEA KOMBE LA DUNIA

IAN Wright, mkongwe wa Arsenal amekiri kuwa ana hofu juu ya Bukayp Saka kuwa anaweza kupata majeraha kuelekea Kombe la Dunia. Saka aliumia hivi karibuni na sasa amepana na leo atakuwa sehemu ya mchezo wa London Dabi dhidi ya Chelsea. Winga huyo awali aliumia kwenye mchezo kati ya Arsenal na Nottingham Forest wakati Arsenal wakishinda…

Read More

SIMBA QUEENS WATUSUA KIMATAIFA,KAZI INAENDELEA

 WAWAKILISHI wa Kanda ya Cecafa kwenye Mashindano ya Ligi ya Mabingwa Simba Queens, wametinga hatua ya nusu fainali baada ya kuvuna alama tatu mbele ya Green Buffaloes ya Zambia. Ilikuwa ni mechi ya mwisho ya kundi A na ushindi wa mabao 2-0 umewapa uhakika wa kuungana na AS FAR Rabat kwenye hatua ya nusu fainali…

Read More

CITY INACHAPA TU, HAALAND ATUPIA

 MSHAMBULIAJI wa Manchester City, Erling Haaland kwenye mchezo wa Ligi Kuu Enland dhidi ya Fulham alitokea banchi na kufunga bao la ushindi kwa timu hiyo. Wakiwa pungufu City baada ya nyota wao Joao Cancelo kuonyeshwa kadi nyekundu dakika ya 26 ubao wa Etihad ulikuwa unasoma City 1-1 Fulham. Bao la mapema kwa City lilifungwa na…

Read More

HUYU HAPA KOCHA MPYA WOLVES

WOLVERHAMPTON Wanderers imemtambulisha rasmi Julen Lopetegui raia wa Hispania na aliyewahi kuwa Kocha mkuu wa Klabu ya Real Madrid pamoja na Sevilla kuwa kocha mkuu wa klabu hiyo. Lopetegui hivi karibuni ametimuliwa kazi kutoka Klabu ya Sevilla anaanza kuwa kwenye majukumu yake mapya kwenye timu hiyo. Lopetegui anachukua mikoba ya Bruno Lage ambaye alitimuliwa klabuni…

Read More