AZAM FC WATEMBEZA 4G

AZAM FC wameibuka na ushindi wa maao 4-3 kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mtibwa Sugar Uwanja wa Manungu, Moro. Kasi ya Azam FC ilianza kipindi cha kwanza ambapo walipata mabao yote hayo matatu yaliyowapa uongozi. Ni Idris Mbombo ambaye ametupia mabao mawili dakika ya 18 na 30 kwenye mchezo huo wakiwa ugenini….

Read More

SAKHO AIPA POINTI TATU SIMBA

KIUNGO wa Simba, Pape Sakho leo Novemba 12,2022 amefunga bao lake la tatu ndani ya Ligi Kuu Bara. Ni bao la ushindi pia kwa Simba wakati ikiibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Ihefu mchezo wa ligi uliochezwa Uwanja wa Mkapa. Juma Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa pongezi kwa wachezaji kufanikisha mpango…

Read More

AZAM FC WANAWAKA MANUNGU

AZAM FC wanaongoza kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mtibwa Sugar unaochezwa uwanja wa Manungu, Moro. Kasi ya Azam FC ilianza kipindi cha kwanza ambapo walipata mabao yote hayo matatu yaliyowapa uongozi. Ni Idris Mbombo ambaye ametupia mabao mawili dakika ya 18 na 30 kwenye mchezo huo wakiwa ugenini. ao la tatu ni…

Read More

MZAMIRU YASSIN NI HABARI NYINGINE

KIUNGO wa kazi ngumu ndani ya kikosi cha Simba, Mzamiru Yassin ni habari nyingine eneo la kati kutokana na kuimarika kwenye kila mchezo ambao ataanza. Nyota huyo kwenye mchezo dhidi ya Singida Big Stars alikuwa na majukumu matatu, kupoka mipira kwa wapinzani, kulinda na kupeleka mashambulizi kwenye lango la wapinzani. Asilimia 80 ya mipira aliyokuwa…

Read More

IHEFU KUMKOSA BEKI WA KAZI KWA MKAPA

TEMMY Felix, Kocha Msaidizi wa Ihefu amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya kuikabili Simba kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara licha ya kumkosa beki wao wa kazi Juma Nyosso. Ihefu ikiwa imetoka kupoteza mchezo wao uliopita dhidi ya Azam FC inakutana na Simba iliyotoka kulazimisha sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya Singida United….

Read More

MASTAA SITA WA SIMBA KUIKOSA IHEFU KWA MKAPA

MASTAA waliofunga jumla ya mabao matano ndani ya kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Juma Mgunda yatakosekana leo Uwanja wa Mkapa kutokana na sababu mbalimbali. Timu hiyo ambayo imetoka kuonja joto ya kupata pointi moja ugenini baada ya ubao wa Uwanja wa Liti kusoma Singida Big Stars 1-1 Simba leo ina kibarua cha kusaka…

Read More

YANGA WAJA NA ‘MIHOGO PARTY’

OFISA Habari wa Yanga, Ally Kamwe amesema kuwa ushindi ambao wamepata ni zawadi kwa Wananchi na Tanzania kiujumla hivyo ni furaha kwa kila mtu. Yanga metinga hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Afrika kwa jumla ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Club Africain. Mchezo wa kwanza uliochezwa Uwanja wa Mkapa ubao ulisoma Yanga 0-0…

Read More

WANANCHI WAMEREJEA DAR, KUIBUKIA MWANZA

KIKOSI cha Yanga leo Novemba 11 kimerejea Dar na kinatarajia kuanza safari kuelekea Mwanza. Ni safari ya kutoka Tunisia ambayo ilianza jana Novemba 10 na walipitia Dubai kabla ya kuibukia Dar. Kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi kimetoka kupata ushindi wa bao 0-1 dhidi ya Club Africain na kutinga hatua ya makundi…

Read More

HOFU YATANDA SENEGAL KUUMIA KWA MANE

BAYERN Munich inaamini kwamba jeraha ambalo amepata Sadio Mane sio kubwa sana kuelekea kwenye Kombe la Dunia ingawa kwa sasa wanasubiri vipimo. Mane aliumia juzi wakati wa mchezo wa Bundesliga dhidi ya Werder Bremen na kuibuka na ushindi wa mabao 6-1. Kwa maumivu aliyopata nyota huyo aliondolewa uwanjani katika mchezo huo na sasa zimesalia siku…

Read More

YANGA YATINGA MAKUNDI KIMATAIFA UGENINI

YANGA wameandika historia kwa kupata ushindi ugenini na kutinga hatua ya makundi kwenye Kombe la Shirikisho Afrika. Ushindi pekee umepatikana kipindi cha pili kupitia kwa kiungo wa Yanga Aziz KI ambaye alianzia benchi kwenye mchezo wa leo. Dakika 45 za awali ni beki Kibwana Shomar alikuwa ni mwiba kwa wapinzani wao Club Africain ambapo alipiga…

Read More

KIMATAIFA:CLUB AFRICAIN 0-0 YANGA

DAKIKA 45 za kimataifa ugenini huku mpira wa darasani ukionekana kwa timu zote mbili kwenye mchezo wa Kome la Shirikisho Afrika. Ubao unasoma Club Africain 0-0 Yanga Kibwana Shomari ni miongoni mwa wazawa ambao wameonyesha kiwango kizuri kwenye mchezo wa leo akiwa amepiga mashuti mawili ambayo yamelenga lango. Pia eneo la kiungo yupo Sure Boy…

Read More