
VIDEO:MZEE MUCHACHU: YANGA IJIFUNZE KWA SIMBA
MZEE Muchachu amesema kuwa Yanga ijifunze kwa Simba huku akibainisha kuwa Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi anaonewa
MZEE Muchachu amesema kuwa Yanga ijifunze kwa Simba huku akibainisha kuwa Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi anaonewa
UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kuwa kwenye mechi za ligi ambazo wanacheza kwa sasa wanahitaji pointi tatu tu na mabao kutoka kwa wachezaji wao. Azam FC imetoka kuipa maumivu Simba kisha ikawatuliza Ihefu FC kwa dozi ya mwendo wa mojamoja kwa timu hizo huku mtupiaji wao akiwa ni Prince Dube. Ofisa Habari wa Azam…
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amebainisha namna ambavyo wamejipanga kumalizana na wapinzani wao kimataifa Waarabu wa Tunisia kwenye mchezo unaotarajiwa kuchezwa kesho Novemba 9 2022
KUELEKEA mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Singida Big Stars v Simba unatarajiwa kuchezwa kesho Uwanja wa Liti Kocha Mkuu wa Simba Juma Mgunda ameweka wazi kuwa itakuwa kazi ngumu kwa kuwa wanakutana na timu ngumu.
AZIZ KI nyota wa Yanga atakosekana kwenye mechi tatu zinazofuata kwa timu yake hiyo msimu wa 2022/23. Sababu ya nyota huyo kukosekana kwenye mechi hizo ni maamuzi ya Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania ambayo yametolewa kutokana na kikao cha Novemba 4,2022. Taarifa hiyo imetolewa leo Novemba 8,2022…
CLATOUS Chama nyota wa Simba atakosekana kwenye mchezo dhidi ya Singida Big Stars unaotarajiwa kuchezwa kesho Novemba 9,2022 Uwanja wa Liti. Sababu ya nyota huyo kukosekana kwenye mchezo huo ni maamuzi ya Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania ambayo yametolewa kutokana na kikao cha Novemba 4,2022. Kamati imemfungia…
FISTON Mayele, mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa hawajawahi kuelekea nchini Tunisia ili wafungwe bali watajitahidi kutafuta ushindi. Kikosi cha Yanga kina kibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Club Africain kwenye mchezo unaotarajiwa kuchezwa kesho Novemba 9,2022. Tayari kikosi hicho kipo nchini Tunisia kwa ajili ya maandalizi ya mwisho ya…
MGUNDA apeleka balaa Singida,Nabi awafanyia sapraiz Waarabu ndani ya Spoti Xtra Jumanne
Wiki hii Ligi zitaendelea kwa baadhi ya nchi kama Bundesliga, Serie A, na Laliga huku EPL ikisimama kupisha mashindano ya Carabao Man City Vs Chelsea, Liverpool, Asrenal na Man Utd watakuwa kazini. Odds bomba na kubwa, zipo Meridianbet pekee. Ni Bundesliga ligi ngumu yenye ubabe mwingi, itahusisha michezo kadhaa, ni Dortmund atakuwa ugenini dhidi…
KUELEKEA kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Singida Big Stars, uongozi wa Simba umeweka wazi kuwa kuna wachezaji ambao wataukosa mchezo huo ikiwa ni pamoja na Okwa, Okra huku wakiweka wazi kuwa watani zao wa jadi Yanga wana kiporo hicyo hawatakuwa na furaha wakikakaa kileleni bali watapunguza gap la pointi
WEKA kando suala la kukosa matokeo kwenye mechi za kimataifa bado kwa wawakilishi wa kimataifa kwenye mechi za kimataifa kazi inaendelea kwa kuwa muhimu kupata matokeo. Tunaona mchezo wa kwanza uliochezwa Uwanja wa Mkapa ilikuwa ngumu kwa wawakilishi wa Tanzania kwenye Kombe la Shirikisho Yanga kupata matokeo mazuri na sasa wana kazi nyingine ugenini. Utani…
KUELEKEA kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho kwa Club Africain dhidi ya Yanga, Nabi kapewa mbinu za kupata ushindi kwenye mchez huo akiwa ugenini
MWANACHAMA na shabiki wa Yanga Mboto ameweka wazi kwamba hatakiwi kupewa pole kwa kuwa Yanga haijafungwa hivyo kufungwa ama kutofungwa kitatokea huko Tunisia, Mboto amebainisha kuwa wapo ambao wanatumika kwa ajili ya kuwapa mihemuko mashabiki wa Yanga
KOCHA Mkuu wa Simba, Juma Mgunda amesema kuwa wanatambua mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Singida Big Stars utakuwa na ushindani mkubwa. Kikosi cha Simba leo Novemba 7 kimesepa Dar ambapo kitapitia Dodoma kabla ya kuibukia Singinda. Mchezo huo wa ligi unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Liti ukiwa ni wa pili kwa Simba kucheza…
ASTON Villa ikiwa Uwanja wa Villa Park imewashushia balaa zito Manchester United kwa kufunga mabao yote manne wakati wakishinda 3-1. Ni Leon Bailey alipachika bao la ufunguzi dakika ya 7 kisha Lucas Diagne alipachika bao la pili dakika ya 11. Pia mabao mawili yalifungwa kupitia kwa Jacob Ramsey wa Villa ambaye alijifunga dakika ya 45…
MWARABU kwisha, kocha wa waarabu ampa faili lote Nabi, Mgunda asuka mkakati mzito
WAKIWA Uwanja wa Stamford Bridge, Arsenal wamesepa na pointi tatu jumlajumla kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Chelsea. Bao pekee la ushindi limefungwa kipindi cha pili baada ya dakika 45 za mwanzo ngoma kuwa nzito kwa wote. Ni Gabriel amepeleka furaha Arsenal kwa kupachika bao hilo dakika ya 63 na kuwafanya mashabiki kushangilia kwa…