
KIKOSI CHA YANGA CAF HIKI HAPA
HIKI hapa kikosi cha Yanga dhidi ya Club Africain mchezo wa Kombe la Shirikisho:- Diarra Kibwana Lomalisa Job Bangala Aucho Sure Boy Moloko Mayele Feisal Morrison
HIKI hapa kikosi cha Yanga dhidi ya Club Africain mchezo wa Kombe la Shirikisho:- Diarra Kibwana Lomalisa Job Bangala Aucho Sure Boy Moloko Mayele Feisal Morrison
HILO ball lililopigwa Uwanja wa Liti ni viwango vyajuu huku Simba wakipigishwa kwata ndani ya dakika 90 kutoka kwa walima alizeti Singida Big Stars. Kipindi cha kwanza walishuhudia bao la kwanza kutoka kwa Deus Kaseke aliyetumia pasi ya Said Ndemla dakika ya 11 likiwa ni bao la mapema kwa Simba kufungwa. Iliwabidi Simba wasubiri kipindi…
KIKOSI cha Azam FC leo Novemba 9 kina kazi ya kusaka ushindi dhidi ya Dodoma Jiji kwenye mchezo wa ligi unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex. Timu hiyo iliyo chini ya Kaimu Kocha Mkuu, Kali Ongala imekuwa kwenye mwendo mzuri baada ya kushinda mechi mbili za ligi mfululizo kwa kuanza na Simba kisha Ihefu na…
JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa leo dhidi ya Singida Big Stars huku akiwakosa nyota mbalimbali kutokana na sababu kadhaa. Miongoni mwa nyota hao ni pamoja na kiungo chaguo namba moja la Mgunda, Clatous Chama ambaye amefungiwa kucheza mechi tatu kutokana na kosa la kushindwa kusalimiana…
KWENYE mchezo wa leo wa Kombe la Shirikisho kati ya Club Africain v Yanga mwamba Djuma Shaban hatakuwa sehemu ya kikosi. Sababu kubwa ya nyota huyo kuwekwa kando kuwakabili Waarabu wa Tunisia ni kutokuwa fiti baada ya kupata maumivu kwenye mchezo wa kwanza. Yanga ina kibarua cha kusaka ushindi nchini Tunisia baada ya ule mchezo…
KUELEKEA mchezo wa kimataifa wa Kombe la Shirikisho kati ya Club Africain dhidi ya Yanga unaotarajiwa kuchezwa kesho, Full mkoko umepangwa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi
KOCHA Mkuu wa Kipanga FC, Hassani Kitimbe amewaondoa hofu Yanga kwa kuwaambia wana nafasi ya kufuzu makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika kwa kuwafunga wapinzani wao, Club Africain ya nchini Tunisia. Timu hizo zitavaana katika mchezo wa Play-Off wa Kombe la Shirikisho keshokutwa Jumatano baada ya ule wa awali kutoka suluhu kwenye Uwanja wa Mkapa,…
JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba ameweka wazi kuwa kazi ambayo anaifanya Victor Ackpan raia wa Nigeria kwenye kikosi hicho siyo ya kubezwa itaonyesha matokeo hivi karibuni. Nyota huyo hakuwa chaguo la kwanza la Mgunda kwenye mechi za hivi karibuni na alianzia benchi wakati ubao wa Uwanja wa Mkapa ukisoma Simba 5-0 Mtibwa Sugar. Mgunda…
MABINGWA watetezi wa Ligi ya Mabingwa Ulaya, Real Madrid wataanza ugenini dhidi ya Liverpool na wababe PSG watavaana na Bayern Munich kwenye mechi za hatua ya 16 bora. Mechi za raundi hiyo zinatarajiwa kuanza kupigwa Februari 14 mpaka Machi 14, mwakani 2023 baada ya droo kuchezwa Novemba 7,2022. Liverpool na Real Madrid msimu uliopita zilikutana…
MZEE Muchachu amesema kuwa Yanga ijifunze kwa Simba huku akibainisha kuwa Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi anaonewa
UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kuwa kwenye mechi za ligi ambazo wanacheza kwa sasa wanahitaji pointi tatu tu na mabao kutoka kwa wachezaji wao. Azam FC imetoka kuipa maumivu Simba kisha ikawatuliza Ihefu FC kwa dozi ya mwendo wa mojamoja kwa timu hizo huku mtupiaji wao akiwa ni Prince Dube. Ofisa Habari wa Azam…
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amebainisha namna ambavyo wamejipanga kumalizana na wapinzani wao kimataifa Waarabu wa Tunisia kwenye mchezo unaotarajiwa kuchezwa kesho Novemba 9 2022
KUELEKEA mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Singida Big Stars v Simba unatarajiwa kuchezwa kesho Uwanja wa Liti Kocha Mkuu wa Simba Juma Mgunda ameweka wazi kuwa itakuwa kazi ngumu kwa kuwa wanakutana na timu ngumu.
AZIZ KI nyota wa Yanga atakosekana kwenye mechi tatu zinazofuata kwa timu yake hiyo msimu wa 2022/23. Sababu ya nyota huyo kukosekana kwenye mechi hizo ni maamuzi ya Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania ambayo yametolewa kutokana na kikao cha Novemba 4,2022. Taarifa hiyo imetolewa leo Novemba 8,2022…
CLATOUS Chama nyota wa Simba atakosekana kwenye mchezo dhidi ya Singida Big Stars unaotarajiwa kuchezwa kesho Novemba 9,2022 Uwanja wa Liti. Sababu ya nyota huyo kukosekana kwenye mchezo huo ni maamuzi ya Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania ambayo yametolewa kutokana na kikao cha Novemba 4,2022. Kamati imemfungia…
FISTON Mayele, mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa hawajawahi kuelekea nchini Tunisia ili wafungwe bali watajitahidi kutafuta ushindi. Kikosi cha Yanga kina kibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Club Africain kwenye mchezo unaotarajiwa kuchezwa kesho Novemba 9,2022. Tayari kikosi hicho kipo nchini Tunisia kwa ajili ya maandalizi ya mwisho ya…
MGUNDA apeleka balaa Singida,Nabi awafanyia sapraiz Waarabu ndani ya Spoti Xtra Jumanne