
WAKUBWA NA WAONYESHE UKUBWA KIMATAIFA
JAMBO dogo likibadilika kwenye kitu lazima kila mmoja atakuwa na makasiriko kwenye moyo wake akiamini kwama anaonewa ama akiamini hakustahili kufanyiwa hilo. Ukweli ni kwamba kama hautakubali mabadiliko yatokee kwenye maisha wewe umekata tamaa na hatukati kuendelea kupambana na maisha. Pale inapotokea jambo jipya na geni kwako ni fursa ya kujifunza na kuamini akili yako…