
HAWA HAPA YANGA KUIKOSA DODOMA JIJI
MASTAA kadhaa wa Yanga leo Novemba 22 wanatarajia kukosekana kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Dodoma Jiji unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Liti. Miongoni mwa nyota hao ni Aziz KI ambaye ni kiungo anayetumikia adhabu ya kufungiwa mechi tatu. Diarra Djigui kipa namba moja wa timu hiyo, Gael Bigirimana kiungo wa timu hiyo hawatakuwa…