
ALIYEWATULIZA KAGERA SUGAR NI BODABODA
CLEMENT Mzinze nyota wa Yanga aliyezima ndoto za Kagera Sugar ya Mecky Maxime kutibua rekodi ya timu hiyo kutofungwa ni dereva bodaboda na fundi ujenzi. Nyota huyo alifunga bao pekee ubao wa Uwanja wa CCM Kirumba uliposoma Kagera Sugar 0-1 Yanga dakika ya 18 akitumia pasi ya Feisal Salum. Mshambuliaji huyo amesema:-“ “Nimezaliwa Tanga nina…