


VIDEO:JEMBE ATOBOA USAJILI WA SIMBA, WACHEZAJI WAKUACHWA
SALEH Jembe atoboa siri Simba kumsajiri Manzoki,amtaja kocha mpya Simba, wachezaji wakuachwa Simba

SHABIKI WA SIMBA ASHINDA M 11 NA 10BET
SHABIKI wa Klabu ya Simba na Liverpool ya England Richard Mkumbo ameshinda Sh11 milioni kupitia jackpot ya katikati ya wiki ya kampuni ya 10 bet Tanzania. Mkumbo ambaye ni mkazi wa Singida ameshinda kiasi hicho cha fedha baada ya kubashiri kwa usahihi mechi 10 za ligi mbalimbali duniani kwa sh 500 tu. Ameweka kibindoni Sh11…
MACHAGUO SPESHO MERIDIANBET YENYE ODDS KUBWA KOMBE LA DUNIA
Ile Michuano mikubwa kwenye ulimwengu wa Soka dunia inaanza kutimua vumbi Novemba 20/2022, ambapo mwenyeji Qatar atacheza mchezo wa ufunguzi dhidi ya Equador kwenye Kundi A, lenye miamba wengine kama Senegal na Uholanzi. Haya hapa machaguo spesho kwenye mechi hizi. Itakuwaje pale ambapo timu unayoishabikia itapata matokeo mazuri, huku na wewe ukipata matokeo mazuri…

MANE NDO BASI TENA QATAR
STAA wa Senegal, Sadio Mane ambaye anakipiga ndani ya Bayern Munich jitihada za kumrejesha kwenye ubora zimegonga mwamba. Ni rasmi kuwa winga huyo mwenye kipaji cha kweli hatakuwa kwenye orodha ya wachezaji watakaocheza michuano ya Kombe la Dunia, Qatar. Sababu kubwa ni majeraha ya mguu ambayo aliyapata akiwa na timu yake ya Bayern Munich hivi…

KIUNGO YANGA APEWA TUZO YA MCHEZAJI BORA
KIUNGO Khalid Aucho wa Klabu ya Yanga, amefanikiwa kushinda tuzo ya mchezaji bora wa mwaka kutoka nchini Uganda. Aucho mwenye miaka 29 amefanikiwa kushinda tuzo hiyo baada ya kuwashinda wapinzani wake katika kinyang’anyiro hicho. Kiungo huyo amefanikiwa kuwashinda kipa wa Mamelodi Sundowns, Dennis Masinde Onyango mwenye miaka 37 na mshambuliaji wa Vipers Yunus Sentamu mwenye…

STRAIKA SIMBA AUKUBALI MZIKI WA YANGA, WATATU SIMBA WACHOMOLEWA
STRAIKA Simba aukubali mziki wa Yanga, watatu Simba wachomolewa kikosini ndani ya Championi Jumamosi

USHINDI MEZANI NA KASINO YA MTANDAONI YA MERIDIANBET!
Kama iliivyo ada, Meridianbet inakuletea michezo ya aina mbalimbali, Ofa, Odds kubwa na Bonasi kibao. Meridianbet inakuletea mchezo bomba wenye miondoko ya kizamani unaojulikana kama Titan Roulette. Mchezo huu uliotengenezwa na watenganezaji wa michezo ya kasino Expanse Studios unapatikana kwenye Kasino ya Mtandoni ya Meridianbet. Titan Roulette ni mchezo wenye miondoko ya kizamani na wenye…

VIDEO:KICHUYA:SIKUFELI,NAWAPENDA SIMBA
KIUNGO Shiza Kichuya ameweka wazi kuwa mashabiki bado wanaamini kuwa bado ni mchezaji wa timu hiyo licha ya kwamba hayupo ndani ya kikosi hicho na hana ugomvi na Simba kwa kuwa hakutoka kwa mabaya

VIDEO:CHAMA KUANZA KESHO DHIDI YA RUVU
KUELEKEA mchezo wa Ligi Kuu Bara kesho kati ya Simba v Ruvu Shooting, Juma Mgunda Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa maandalizi yapo sawa huku kiungo Clatous Chama akiwa ni miongoni mwa nyota ambao wapo tayari kwa mchezo huo unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa

VIDEO:KICHAPO CHA BAO 4-1 DHIDI YA YANGA, PLUIJM AKIRI SIKU MBAYA
KICHAPO cha mabao 4-1 ambacho walikipata Singida Big Stars dhidi ya Yanga Uwanja wa Mkapa kimemfanya Kocha Mkuu wa Singida Big Stars, Hans Pluijm kukiri kuwa ilikuwa siku mbaya kazini

BANDA KUIKOSA TIMU NGUMU RUVU SHOOTING
KIUNGO wa Simba Peter Banda ataukosa mchezo wa kesho wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ruvu Shooting kwa kuwa bado hajawa fiti. Kwa mujibu wa Kocha Mkuu wa Simba, Juma Mgunda ameweka wazi kuwa maandalizi ya mchezo huo yamekamilika na wanatambua wanakwenda kukutana na timu ngumu. “Kila kitu kuhusu mchezo wetu dhidi ya Ruvu Shooting…

VIDEO:SIMBA YABAINISHA KUHUSU MABORESHO BENCHI LA UFUNDI
AHMED Ally,Meneja wa Habari na Mawasiliano Simba amebainisha kuwa kwa sasa wapo kwenye maboresho ya benchi la ufundi wa timu hiyo

KIBWANA ALIKUWA NA NIA YA KUIFUNGA SINGIDA BIG STARS
KIBWANA Shomari beki wa Yanga ameweka wazi kuwa alikuwa na nia ya kufunga jambo ambalo lilitokea baada ya dakika 90 kumeguka Uwanja wa Mkapa. Novemba 17,2022 Yanga iliibuka na ushindi wa mabao 4-1 Singida Big Stars na kuwafanya wasepe na pointi tatu mazima. Watupiaji walikuwa ni wawili ambapo Fiston Mayele alitupia mabao matatu na kusepa…

KMC NA MERIDIANBET WACHANGIA UJENZI WA KITUO CHA POLISI
KLABU ya KMC, alimaarufu kama “KINO BOYS”, kwa kushirikiana na Mdhamini mkuu wa klabu hiyo kampuni ya Meridianbet wametoa msaada wa vifaa vya ujenzi wa kituo cha polisi, kilichopo Mtaa wa Tegeta A ambacho kinaendelea kujengwa ili kutoa msaada wa kiusalama kwa eneo hilo. Vifaa hivyo vilivyotolewa ni mifuko ya Saruji “Cement” zaidi 50 pamoja…

YANGA YAIPIGA 4G SINGIDA BIG STARS
FISTON Mayele nyota wa Yanga amefikisha mabao 6 kibindoni baada ya leo kufunga hat trick kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Singida Big Stars. Dakika 90 zimekamilika kwa ubao wa Uwanja wa Mkapa kusoma Yanga 4-1 Singida Big Stars ikiwa ni ushindi mkubwa kwa Yanga kuupata wakiwa nyumbani msimu huu. Bao lingine la…

SIMBA YAMTAMBULISHA KOCHA WA VIUNGO
RAMSI Kelvin Mandla kutoka Afrika Kusini ametambulishwa kuwa kocha wa viungo (Fitness Coach). Kabla ya kocha huyo Simba haikuwa na kocha wa viungo baada ya aliyekuwa kweye nafasi hiyo kuondoka. Anakuwa kocha wa pili kutambulishwa kwenye benchi la ufundi ndani ya Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Juma Mgunda. Novemba 15,2022 Simba ilimtamulsha kocha wa makipa…