
SINGIDA BIG STARS KUIKABILI KMC
KIKOSI cha Singida Big Stars leo kina kazi ya kusaka pointi tatu muhimu mbele ya KMC ambao nao wanazihitaji pia. Ni kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Liti saa 8:00 mchana huko Singida. Upande wa kiingilio ni 3,000 kwa mzunguko na VIP ni shilingi 5,000 ambazo zitawafanya mashabiki kushuhudia mchezo huo…