
FURAHA YA KUPOKEA BAJAJI YA MERIDIANBET IMEMFANYA ALIE
Ni kijana wa kitanzania ambaye ni mzaliwa na mkazi wa Handeni Tanga Didas Shauri Yeremia maarufu kwa jina la Viktoria, alishindwa kujizuia furaha yake aliyokuwa nayo baada ya kufika Makao Makuu ya Meridianbet. Mfalme wa kubeti kwa kitochi, ambaye pia ni mshindi wa promosheni kubwa ya SHINDA BAJAJI, iliyokuwa ikichezeshwa kwa muda na hatimaye…