
KAY MZIWANDA AFUNGUKIA ISHU YA MANZOKI/NTIBANZOKIZA
KAY Mziwanda afunguka ishu ya Manzoki/Ntibanzokiza
KAY Mziwanda afunguka ishu ya Manzoki/Ntibanzokiza
MAKUNDI haya hapa ya Ligi ya Mabingwa Afrika ambapo kwa Tanzania inawakilishwa na Klabu ya Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Juma Mgunda:- Kundi A A.Petroleos ya Angola JS Kabylie ya Algeria AS Vita Club ya DR Congo Wydad Casablanca ya Morocco Kundi B Mamelod Sundowns ya Afrika Kusini Al Hilal ya Sudan AS Vita Club…
YANGA:Haponi mtu, Barbara apewa mtihani mzito Simba ndani ya Championi Jumatano.
NAHODHA wa Timu ya Taifa ya Argentina, Lionel Messi amefanikiwa kuandika rekodi nyingine kufika na timu hiyo mara mbili kwenye hatua ya fainali ya Kombe la Dunia. Ushindi wa mabao 3-0 waliopata mbele ya Croatia kwenye mchezo wa nusu fainali ya kwanza iliyochezwa Uwanja wa Lusail Iconic umewapa tiketi hiyo Argentina. Mastaa wawili muungano wao…
Kama ilivyoada kwa Meridianbet kukuletea michezo yenye bonasi kubwa, Odds kubwa na Promosheni za kumwaga. Wiki hii kwenye kasino ya mtandaoni ya Meridianbet inakuletea mchezo wa kukata na shoka na utakao kutengenezea faida uitwao Pumpkin Patch. Pumpkin Patch ni mchezo wenye maudhui ya siku ya Halloween uliotengenezwa na watengenezaji maarufu wa michezo ya kasino Habanero….
UTEPE:Makundi CAF balaa/Yanga/Simba/ Morocco kutinga fainali/Ronaldo Neymar kilio
HUU hapa ushauri kwa TFF kutoka kwa Kurugenzi iliyopoteza kwa 8-0
JEMBE azungumzia ishu ya makundi, amvaa Barbara/Manzoki, Saido ndani Simba
KLABU ya Yanga kwenye hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Afrika imedondokea kundi D ambalo lina timu nne ikiwa ni pamoja na wawakilishi hawa kutoka Tanzania. Timu nyingine ambazo zipo kwenye Kundi D ni TP Mazembe, US Monastir na Real Bamako. Ikumbukwe kwamba US Monastri wao waliwafungashia virago RS Berkane huku Mazembe wao waliwahi kukutana…
MOJA ya msimu wenye ushindani mkubwa ndani ya ligi ni pamoja na huu ambao unaendelea kwa sasa 2022/23 kutokana na timu kujipanga kufanya vizuri. Benchi la ufundi, uongozi pamoja na mashabiki muda wa kujipanga kwa makosa ya mzunguko uliopita ni sasa na itasaidia kuwa kwenye ushindani mzuri. Kinachowakasirisha mashabiki ni timu kushindwa kupata kile inachostahili…
KITASA hiki cha kazi kutoka DR Congo kupewa mkataba Simba
STAA wa timu ya Taifa ya Argentina Lionel Messi endapo atafanikisha kukiongoza kikosi chake leo Desemba 13,2022 kutinga hatua ya Fainali ya Kombe la Dunia ataandika rekodi yake nyingine kwenye upande wa michuano hiyo mikubwa. Messi ambaye ni nahodha wa Timu ya Taifa ya Argentina leo ana kazi ya kukiongoza kikosi hicho kwenye mchezo wa…
UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kuwa umepokea CV za makocha kutoka maeneo mbalimbali kwa makocha wenye uzoefu huku wazawa wakiwa ni wawili. Kwa sasa timu hiyo ipo chini ya Kaimu Kocha, Kali Ongala ambaye ameweka rekodi ya kuiongoza timu hiyo kwenye mechi 8 mfululizo za ligi kwa kushinda zote na kukomba pointi 24. Hasheem…
WAWAKILISHI wa Tanzania, Simba kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi wamedondokea kundi C. Droo ilichezeshwa nchini Misri Desemba 12,2022 ambapo kila mmoja amejua mpinzani wake atakuwa ni nani. Katika makundi hayo Simba ipo pamoja na timu za Raja Casablanca, Horoya na Vipers ya kutoka Uganda. Ratiba ya Simba kimataifa inatarajiwa kuwa namna hii:-Feb…
LUIS ni Simba tena, Nabi apewa rungu Yanga ndani ya Spoti Xtra, Jumanne
Michuano ya kombe la dunia imefikia patamu sana, hatua ya Nusu Fainali timu zilikuwa 32 na hatimaye sasa zimesalia timu 4, mbili zikitoka bara la Ulaya, moja Amerika Kusini na Moja ni kutoka Afrika. Argentina vs Croatia, Morocco vs Ufaransa. Mchanganuo wa ODDS kubwa na bomba Meridianbet upo kama ifuatavyo. Machaguo spesho ya Meridianbet Mechi…
KAY Mziwanda amebainisha kile ambacho Wanasimba wanahitaji kwenye upande wa usajili wa dirisha dogo ndani ya kikosi hicho