
LUIS NI SIMBA TENA,NABI APEWA RUNGU YANGA
LUIS ni Simba tena, Nabi apewa rungu Yanga ndani ya Spoti Xtra, Jumanne
LUIS ni Simba tena, Nabi apewa rungu Yanga ndani ya Spoti Xtra, Jumanne
Michuano ya kombe la dunia imefikia patamu sana, hatua ya Nusu Fainali timu zilikuwa 32 na hatimaye sasa zimesalia timu 4, mbili zikitoka bara la Ulaya, moja Amerika Kusini na Moja ni kutoka Afrika. Argentina vs Croatia, Morocco vs Ufaransa. Mchanganuo wa ODDS kubwa na bomba Meridianbet upo kama ifuatavyo. Machaguo spesho ya Meridianbet Mechi…
KAY Mziwanda amebainisha kile ambacho Wanasimba wanahitaji kwenye upande wa usajili wa dirisha dogo ndani ya kikosi hicho
JEMBE mkongwe kwenye masuala ya uandishi wa habari za michezo ametaja timu aliyokuwa anaifuatilia Kombe la Dunia ilikuwa ni Brazil lakini kilichotokea kimetokea na amefurahi kuona Timu ya Taifa ya Morocco ikiingia hatua ya nusu fainali
KLABU ya Yanga, imepangwa kundi moja na timu za TP Mazembe ya DR Congo, US Monastir ya nchini Tunisia na Real Bamako ya Mali katika droo iliyofanyika hii leo. Yanga inayoshiriki katika Ligi ya Shirikisho Barani Afrika, ilifuzu kuingia katika hatua ya makundi baada ya kung’ara katika hatua za awali ambapo sasa, wamepangwa katika Kundi…
KLABU ya Simba ya Tanzania, imepangwa katika kundi C katika michuano ya Klabu Bingwa Afrika. Kwenye kundi hilo ambalo ikiwa Simba watapanga kete vizuri wanaweza kutusua na wakibugi watapotezwa itakutana na Vipers kutoka Uganda, Horoya ya Guinea na Raja Cassablanca ya Morocco. Simba ilifanikiwa kuingia katika Hatua ya Makundi katika mashindano ya Klabu Bingwa na…
TAARIFA zinaeleza kuwa, Klabu ya Yanga chini ya wadhamini wao Kampuni ya GSM, rasmi imemalizana na kiungo wa Uganda, Bobosi Byaruhanga na kumpatia mkataba wa miaka miwili kwa ajili ya kutua katika usajili wa dirisha dogo unaotarajiwa kufunguliwa Desemba 16, mwaka huu. Bobosi ambaye alikuwa mchezaji huru kwa muda mrefu baada ya mkataba wake na…
MABOSI wa Berkane FC ya nchini Morocco wamefunga safari kumfuata kiungo mchezeshaji, Feisal Salum ‘Fei Toto’ kwa ajili ya kuinasa saini yake ikiwa ni baada ya kukoshwa na uwezo wake ambao amekuwa akiuonyesha kila mara akiwa anaitumikia timu hiyo. Kiungo huyo mara kadhaa amekuwa akiwaniwa vikali na baadhi ya klabu za nje ya nchi kwa…
KUELEKEA usajili wa dirisha dogo, uongozi wa Simba umeweka wazi kuwa kocha mkuu wa kikosi hicho, Juma Mgunda, tayari amekutana na viongozi wa Bodi ya Wakurugenzi na kuwasilisha ripoti ya maboresho ya kikosi chake, huku jina la straika, Cesar Manzoki likijadiliwa kwa ukubwa. Dirisha dogo la usajili linatarajiwa kufunguliwa Desemba 16, mwaka huu na kufungwa…
KOCHA msaidizi wa Yanga,Cedrick Kaze ambaye ameongoza kikosi hicho kupata ushindi wa mabao 8-0 dhidi ya Kurugenzi mchezo wa raundi ya Pili na amebainisha kuwa mshammbuliaji wa timu hiyo Clement Mzize alikuwa anakaa kwenye nafasi na anaongeza hali ya kujiamini huku akibainisha kuwa kunakuwa na ongezeko la machaguo lakini kiwango hakikuwa bora
WAKATI droo CAF ikipangwa leo, Bosi Yanga:Tunamtaka yeyote yule, Phiri atoa ujumbe mzito Simba, ndani ya Championi Jumatatu
KAMPENI ya kutetea ubingwa wa Kombe la Azam Sports Federation umeanza kwa ushindi mbele ya Kurugenzi. Ni Yanga ambao ni watetezi wameibuka na ushindi wa mabao 8-0 dhidi ya Kurugenzi kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkapa. Shukrani kwa Clement Mzize ambaye amefung bao la mapema ndani ya Kombe la Shirikisho dakika ya kwanza na aliibuka…
JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba amesema ushindi wao mbele ya Eagle unawapa nguvu ya kuzidi kuimarika kwa mechi zijazo. Ikiwa Uwanja wa Mkapa, Desemba 10, ubao ulisoma Simba 8-0 Eagle na timu hiyo ikatinga hatua ya 32 Kombe la Shirikisho. “Tumekuwa na mwanzo mzuri na hii inatupa nguvu kwa ajili ya mechi zijazo kufanya…
KIKOSI cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi leo Desemba 11 kitakuwa na kazi ya kusaka ushindi kwenye mchezo wa raundi ya Pili Kombe la Shirikisho dhidi ya Kurugenzi. Nabi hatakuwa kwenye benchi kwa kuwa anatumikia adhabu yake ya kufungiwa mechi tatu hivyo ni Cedric Kaze ambaye ni kocha msaidizi atakaa kwenye benchi. Tayari…
OFISA Mtendaji Mkuu wa Simba, Barbara Gonzales, jana Jumamosi alifikia uamuzi wa kujiuzulu nafasi yake hiyo, huku akitoa sababu kuu mbili nzito za kufikia uamuzi huo. Barbara amehudumu kwenye nafasi hiyo kwa kipindi cha miaka miwili tangu Novemba 17, 2020 akichukua nafasi ya Senzo Mbatha. Katika taarifa ambayo aliitoa Barbara, alisema: “Leo (jana Jumamosi) nimeandika…
GLOBAL TV imefanya mahojiano maalum na mchambuzi mkongwe wa soka nchini Saleh Jembe ambaye amefunguka mengi kuhusiana na ishu ya Barbara kujiuzulu na sakata la Mo Dewj kuondoka Simba..
KOCHA Yanga Princess awavaa viongozi Yanga ataja yeye ni kocha mkubwa, zungumzia kocha Simba kuifundisha Yanga