SIMBA FULL MKOKO, RASMI YANGA YAMSHITAKI FEI TOTO
Simba full mkoko,rasmi Yanga wamshitaki Fei Toto ndani ya Spoti Xtra Jumanne
Simba full mkoko,rasmi Yanga wamshitaki Fei Toto ndani ya Spoti Xtra Jumanne
BAADA ya kumaliza mchezo wa funga mwaka dhidi ya Mtibwa Sugar nyota Fiston Mayele ni miongoni mwa wale ambao wamepewamapumziko. Katika msafara wa leo wa kikosi cha Yanga ulioelekea Zanzibar, Mayele hakuwa kwenye kikosi hicho. Nyota wengine ni Aziz KI, Kibwana Shomari, Khalid Aucho, Yannick Bangala ambapo wote hawa wamepewa mapumziko. Kwa mujibu wa meneja…
MABINGWA watetezi wa Kombe la Mapinduzi Simba leo Januari 2,2023 wanatarajiwa kuanza safari kuelekea Zanzibar. Chini ya Kocha Mkuu mzawa Juma Mgunda kikosi hicho kinaelekea kuanza safari ya kutetea taji lao pekee ambalo walitwaa 2022. Ikumbukwe kwamba Simba ilishinda bao 1-0 dhidi ya Azam FC kwenye mchezo uliokuwa na ushindani mkubwa na bao pekee la…
MSHAMBULIAJI Yusuph Athuman ambaye ni mali ya Yanga kwenye mzunguko wa pili atakuwa ndani ya kikosi cha Coastal Union. Coastal Union wamemchukua nyota huyo kwa mkopo ili kuongeza nguvu kwenye eneo la ushambuliaji. Hakuwa na nafasi kikosi cha kwanza cha Yanga kutokana na ushindani wa namba ambapo ni Fiston Mayele alikuwa akianza kikosi cha kwanza.
NYOTA Serge Aurier bao lake la kwanza akiwa na Nottingham Forest dakika ya 63 liliuzima mkwaju wa Raheem Sterling dakika ya 16 na kuwafanya wasumbufu hao wa Premier League kupata sare ya kufungana 1-1 waliyostahili dhidi ya Chelsea. Mchezo huo ulichezwa kwenye Uwanja wa City Ground. Forest waliingia uwanjani wakijua ushindi ungewaondoa kwenye eneo la kushushwa daraja lakini…
ROBERTINHO Oliviera raia wa Brazil anatajwa kumalizana na mabosi wa Simba kwa ajili ya kupewa mikoba ya Zoran Maki. Ikumbukwe kwamba baada ya Maki kusepa ndani ya kikosi cha Simba mwanzoni mwa msimu wa 2022/23 alikabidhiwa timu Juma Mgunda ambaye alitajwa kuwa atakuwa ni kocha mkuu wa muda. Kocha huyo alikuwa anainoa timu ya Vipers…
SAIDO aweka rekodi 4 kali Bongo. mazito yaibuka mabao ya Aziz KI ndani ya Championi Jumatatu
KIUNGO mzawa ndani ya kikosi cha Simba, Mzamiru Yassin ni mvivu,mvivu,mvivu haswa kwenye kuongea lakini akiwa uwanjani anavunja jasho kwelikweli. Mara chache kumkuta akizungumza na hata akizungumza hana maneno mengi zaidi ya tunasmhurku Mungu na maandalizi yapo vizuri. Eneo lake la kati kwenye ukabaji bado Simba haina mbadala wake mzawa ikiwa atasepa kwenye kikosi cha…
KIKOSI cha Arsenal kimewatungua mabao 4-2 Brighton kweye mchezo wa kuamkia Januari Mosi 2022 Soka. Ni mabao ya Bukayo Saka dakika ya pili, Martin Odegaard dakika ya 39, Eddie Nketiah dakika ya 47 na Gabriel Martinelli dakika ya 71 hawa walifunga katika Uwanja wa Amex. Paul Merson anasema nafasi ya Arsenal kuwa kilelei ndani ya…
UBAO wa Uwanja wa Azam Compex baada ya dakika 90 ulisoma Azam FC 6-1 Mbeya City na kuwafanya matajiri hao kufunga mwaka kibabe. ni Sopu alitupia kambani mabao mawili, Prince Dube, Keneth Muguna ,Nado na Mkandala walitupia bao mojamoja. Mchezo huo ulichezwa Uwanja wa Azam Complex ulikuwa ni wa kufungia mwaka 2022. Bao la Meya…
2023 kiungo wa mpira mwenye mkataba na Yanga mpaka 2024 umemkutia akiwa ndani ya Dubai ambapo amekwenda kwa ajili ya majukumu yake. Nyota huyo mwenye mabao sita na pasi mbili za mabao amekuwa kwenye mvutano na mabosi wa timu yake kuhusu mkataba wake. Fei mwenyewe amewaaga mashabiki na kuwashukuru viongozi kwa muda ambao ametumika ndani…
MCHEZO wa Ligi Kuu Bara kati ya Mtibwa Sugar na Yanga uligotea dakika 26 baada ya mabingwa hao watetezi wa ligi kuwatibulia mipango mapema wapinzani wao. Ni bao la Aziz KI dakika ya 26 la kipindi cha kwanza limedumu mpaka dakika 90 za mwamuzi kukamilisha mchezo huo. Pigo la faulo iliyoonekana kutokuwa na hatari ilimduwaza…
NYOTA watatu wa kikosi cha Simba wamepenya kwenye hatua ya kuwania tuzo ya mchezaji bora. Ni tuzo ya kufungia mwaka 2022 ya Mchezaji Bora wa Mashabiki (Emirate Aluminium Profile Simba Fans Player of the Month). Atakayesepa na tuzo hiyo atakuwa amefungua zawadi ya kwanza kutoka kwa mashabiki kwa 2023 kutoka kwa mashabiki. Ni kiungo Clatous…
UBAO wa Uwanja wa Manungu unasoma Mtibwa Sugar 0-1 Yanga. Bao la Aziz KI dakika ya 26 linaipa uongozi timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi. Pigo la faulo iliyoonekana kutokuwa na hatari ilimduwaza kipa wa Mtibwa Sugar Razack Kimweri ambaye alikutana na mpira nyavuni. Ukuta wake wa wachezaji watatu ambao aliwapanga pamoja na…