
KOCHA JUMA MGUNDA AKIRI ALITELEZA
JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa aliteleza kwenye maelezo wakati akizingumza kuhusu suala la kutetea ubingwa wa timu hiyo. Kwenye mchezo wa ufunguzi dhidi ya Mlandege, Simba ilipoteza kwa kufungwa bao 1-0 na kuvuliwa ubingwa, alipohojiwa na mwandishi kuhusu matumaini ya kutetea taji hilo alibainisha bado yapo kwa kuwa wana mechi mbili. Jamo…