
YANGA YAMTEMBELEA MAMA KARUME
UONGOZI wa Yanga chini ya rais wa klabu hiyo, Injinia Hersi Said, benchi la ufundi, wachezaji pamoja na wajumbe wa Bodi ya Wadhamini, mapema jana Jumamosi walimtembelea mama Fatuma Karume ambaye ni mke wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Hayati Sheikh Abeid Amani Karume na kumpa zawadi mbalimbali ikiwemo jezi za timu hiyo. Hafla hiyo…