
RUVU SHOOTING WAIPAPASA MBELE YA WANANCHI
WANANCHI wanaongoza ndani ya dakika 45 za mwanzo kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ruvu Shooting. Ruvu Shooting wamejitungua wenyewe dakika ya 34 kupitia kwa nyota wao Mpoki Mwakinyuke. Licha ya Ruvu Shooting kujifunga bado Yanga ndani ya dakika 45 wameonyesha nguvu kubwa kuliandama lango la Ruvu Shooting wakimtumia mshambuliaji wao Fiston Mayele…