
JEMBE JIPYA MTIBWA SUGAR LATIMIZA NDOTO
INGIZO jipya ndani ya Mtibwa Sugar, Vitalis Mayanga ameweka wazi kuwa ilikuwa ni ndoto yake kujiunga na Mtibwa Sugar alipoanza soka la ushindan. Hivyo kujiunga na timu hiyo ametimiza ndoto yake ya muda mrefu. Mayanga alitambulishwa rasmi kuwa ni mali ya Mtibwa Sugar Januari 11,2023. Ni ingizo jipya ambapo alikuwa anakipiga ndani ya Polisi Tanzania…