
NYOTA HUYU WA DODOMA JIJI TARATIBU ANAKUJA
MIONGONI mwa vijana wanaokipiga ndani ya Dodoma Jiji kwa wakulima wa Zabibu ni pamoja na Zidane Omary Sereli. Nyota huyo kwenye mchezo dhidi ya Kagera Sugar alianza benchi akisoma mchezo utakavyokuwa. Katika mchezo wa wa Januari 14 dhidi ya Geita Gold alianza kikosi cha kwanza. Mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Nyankumbu, Geita Dodoma Jiji ilipoteza…