
ALIYEMTUNGUA BAO LA MBALI MANULA AREJEA KAZINI
IKIWA zimebaki siku 12 za watani wa jadi Simba na Yanga kukutana Uwanja wa Mkapa habari njema kwa mashabiki wa Yanga ni kwamba aliyemtungua Aishi Manula bao kali akiwa nje ya 18 amerejea tayari katika ubora wake. Ni Mapinduzi Balama alifanya hivyo Januari 4,2020 Uwanja wa Mkapa alipofunga bao hilo kwa shuti kali na katika…