MASTAA SIMBA WATATU MAJANGA
MASTAA watatu wa Simba wameanza kwa majanga msimu wa 2023/24 kutokana na kupata maumivu wakiwa kwenye majukumu yao. Ikumbukwe kwamba msimu wa 2022/23 Simba ilishuhudia bingwa wa ligi akiwa ni Yanga chini ya kocha Nasreddine Nabi ambaye hatakuwa ndani ya kikosi cha Yanga kwa msimu wa 2023/24. Yanga kwa sasa ipo chini ya Kocha Mkuu,…