AHMED ALLY AWEKA WAZI TAREHE RASMI YA TIMU KUINGIA KAMBINI
Semaji Ahmed Ally ameweka wazi tarehe rasmi ya kuanza maandalizi ya msimu (Pre Season)
Semaji Ahmed Ally ameweka wazi tarehe rasmi ya kuanza maandalizi ya msimu (Pre Season)
Afisa Habari wa Simba SC, Ahmed Ally amesema Klabu ya Simba inatarajia kuweka kambi nchini Misri katika Mji wa Ismailia kwa ajili ya kujiandaa katika kuelekea msimu mjao wa mashindano (pre season) mwanzoni mwa mwezi Julai.
Timu ya taifa ya Ureno imetinga hatua ya 16 bora ya kombe la Mataifa Ulaya, EURO 2024 kufuatia ushindi wa 3-0 dhidi ya Uturuki katika dimba la Signal lduna Park (Dortmund). FT: Uturuki 0-3 Ureno ⚽ Silva 22’ ⚽ Akaydin (og) 29’ ⚽ Bruno 56’ MSIMAMO KUNDI F ?? Portugal — mechi 2 — pointi…
Timu ya taifa ya Ubelgiji imeweka hai matumaini ya kufuzu hatua ya 16 bora baada ya kuitandika Romania 2-0 katika mchezo wa raundi ya pili wa Kundi E uliopigwa katika dimba la RheinEnergieStadion (Cologne). FT: Ubelgiji ?? 2-0 ?? Romania ⚽ Tielemans 2’ ⚽ De Bruyne 80’ Kundi E bado ni ngoma ni ngumu, kila…
Kwa mara nyingine Meridianbet wamefanikiwa kufika wilaya ya Kibaha na kutoa msaada katika eneo hilo katika makundi mbalimbali ya kijamii. Wababe hao wa michezo ya kubashiri wameendelea kuhakikisha wanarudisha kwa jamii yao inayowazunguka, Ambapo wamefanikiwa kuwagusa makundi mawili ya kijamii ambapo wametoa msaada familia duni pamoja watu wenye ulemavu wa ngozi (Ualbino) Mabingwa hao wa…
WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye anga la kimataifa katika Kombe la Shirikisho Afrika, Simba wamepita shwaa na mabao 13 mazima kwa msimu wa 2023/24 baada ya kuwapa mkono wa Thank You. Timu hiyo imegotea nafasi ya tatu inaungana na Coastal Union ya Tanga kwenye Kombe la Shirikisho Afrika huku Yanga na Azam FC hizi zikiwa na…
RAIS wa Heshima ambaye pia Mwekezaji wa Simba, Bilionea Mohammed Dewji ‘Mo’ amebadili maamuzi na haraka amemuita kiungo wao mshambuliaji, Mzambia Clatous Chama Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya mazungumzo kuongeza mkataba mpya kuendelea kubakia hapo. Awali ilielezwa kuwa Mo aliwagomea baadhi ya Viongozi wa Bodi ya Klabu hiyo kumuongezea mkataba kiungo huyo kutokana…
Mshambuliaji Prince Dube amefunguka kupitia Global TV kuwa msimu ujao 2024/5 atacheza katika Ligi Kuu Tanzania Bara japo hajasema zaidi ni klabu gani atakayotumikia.
KIUNGO mshambuliaji ndani ya Azam FC, Feisal Salum, maarufu kama Fei Toto anaingia kwenye orodha ya nyota waliofunga hat trick mapema ndani ya Ligi Kuu Bara msimu wa 2023/24. Huku mwamba Aziz Ki wa Yanga akiingia kwenye rekodi ya nyota aliyefunga hat trick nyingi ambazo ni mbili. Mbali na Fei kuwa mfungaji wa hat trick…
UONGOZI wa Yanga umebainisha kuwa utafanya usajili wa kishindo katika dirisha kubwa la usajili ambalo limefunguliwa Juni 15 2024. Timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu Miguel Gamondi ina mpago wa kuongeza washambuliaji pamoja na mabeki katika kikosi kwa msimu ujao. Ipo wazi kwamba Yanga ni mabingwa wa Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2023/24 wataipeperusha…
Shinda mpaka mara 800 kwa dau lako unapocheza kasino, mchezo wa KARATA maarufu duniani, unaitwa Magic Poker unapatikana Meridianbet kasino ya Mtandaoni. Jisajili ushinde. Magic Poker ni mchezo mpya wa poker kutoka kasino ya mtandaoni ya meridianbet, uliotengenezwa na kampuni ya Wazdan Casino. Odds kubwa zitokanazo na kupata mikono mizuri ya poker na bonasi maalum…
Uhispania imetinga hatua ya 16 bora ya kombe la Mataifa Ulaya EURO 2024 kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya Italia katika dimba la Veltins Arena (Gelsenkirchen) kwenye mchezo wa raundi ya pili wa kundi B FT: SPAIN ?? 1-0 ?? ITALY ⚽ Calafiori (og) 55’ ?? Uhispania — mechi 2 — pointi 6 ?? Italia…
Baada ya utambulisho wa Lameck Lawi kama mchezaji mpya wa klabu ya Simba, Uongozi wa Coastal Union kupitia kwa Afisa Habari wake Abbas El Sabri umefunguka kwamba hautambui utambulisho huo na kubainisha kwamba hizo ni taarifa za kufurahisha na kuchekesha za mitandaoni. “Siku hizi mitandaoni kuna mambo mengi sana wakati mwingine kuna mambo ya kufurahisha…
Klabu ya Simba Sc imetangaza kumsajili beki wa kati Lameck Lawi (18) kutoka Coastal Union baada ya klabu hiyo kufikia dau linalotakiwa na Coastal Union kwa ajili ya kumuachia Lawi amekuwa akiwindwa na Simba kwa ajili ya kuongeza nguvu kwenye kikosi hicho huku kukiwa na taarifa kuwa Henock Inonga yupo njiani kuondoka klabuni hapo.
Klabu ya Pamba Jiji Fc imethibitisha kuachana na wachezaji wote pamoja na benchi lote la ufundi ambao waliipandisha timu daraja kwa kile kinachodaiwa kuwa ni kumalizika kwa mikataba Yao klabuni hapo. Pamba Jiji FC ambayo imepanda daraja kuja Ligi Kuu ya NBC Tanzania bara msimu ujao ipo kwenye mchakato wa kutengeneza timu mpya kwaajili ya…
KONDE Boy ambaye alirejea kwa mara nyingine ndani ya Simba ni rasmi hatakuwa ndani ya kikosi hico akiungana na nyota wengine walioanza kukutana na Thank You. Ni Luis Miquissone raia wa Msumbiji ambaye hakuwa na nafasi kikosi cha kwanza ndani ya Simba kitaifa na kimataifa Juni 19 2024 rasmi uongozi wa Simba ulibainisha kwamba hataongezewa…
IMEELEZWA kuwa Yanga ipo katika hatua za mwisho na kiungo wake mshambuliaji, Mghana Augustine Okrah ya kusitisha kusitisha mkataba au kumtoa kwa mkopo ndani au nje ya nchi mwishoni mwa msimu huu. Kiungo huyo alikuwepo katika kikosi cha Simba, katika msimu uliopita kabla ya kuomba mkataba wake uvunjwe ili aende akatafute changamoto nyingine mpya nyumbani…