Klabu ya Simba Sc imetangaza kumsajili beki wa kati Lameck Lawi (18) kutoka Coastal Union baada ya klabu hiyo kufikia dau linalotakiwa na Coastal Union kwa ajili ya kumuachia
Lawi amekuwa akiwindwa na Simba kwa ajili ya kuongeza nguvu kwenye kikosi hicho huku kukiwa na taarifa kuwa Henock Inonga yupo njiani kuondoka klabuni hapo.