AZIZ KI NA FEI WANA REKODI ZAO BONGO
KIUNGO mshambuliaji ndani ya Azam FC, Feisal Salum, maarufu kama Fei Toto anaingia kwenye orodha ya nyota waliofunga hat trick mapema ndani ya Ligi Kuu Bara msimu wa 2023/24. Huku mwamba Aziz Ki wa Yanga akiingia kwenye rekodi ya nyota aliyefunga hat trick nyingi ambazo ni mbili. Mbali na Fei kuwa mfungaji wa hat trick…