
VIDEO:ISSA AZAM ACHARUKA, AFUNGUKIA MECHI YA YANGA
ISSA Azam acharuka awavaa Yanga kuelekea mchezo wao wa kimataifa Mei 28,2023 Uwanja wa Mkapa
ISSA Azam acharuka awavaa Yanga kuelekea mchezo wao wa kimataifa Mei 28,2023 Uwanja wa Mkapa
USAJILI wa Chivaviro Yànga SC kama muvi, Simba yashusha chuma kipya ndani ya Championi Ijumaa
ANAANDIKA Feisal Salum namna hii:-“Ndugu zangu Watanzania na familia yote ya soka kwa Bara na visiwani. Mimi kijana wenu ambaye kwa miaka yote nimekua na nidhamu nje na ndani ya uwanja na kwa dhati nimeitumikia Klabu ya Yanga na Timu ya Taifa ya Tanzania na Zanzibar Heros. “Utiifu wangu umekua shubiri ya maisha yangu ya…
HESABU za kwenye Ligi Kuu Bara kwa sasa zimeshafungwa kwa baadhi ya timu kutokana na kuvuna kile ambacho wamekipanda, Yanga ni mabingwa wa ligi na wametinga hatua ya fainali ya Azam Sports Federation. Ni dhidi ya Singida Big Stars walipenya kwenye nusu fainali na sasa watakwenda kumenyana na Azam FC, Mkwakwani Tanga. Ruvu Shooting ya…
JULIO Enciso aliingia katika kinyang’anyiro cha bao bora la msimu huku Brighton wakishangilia nyuma mabingwa Manchester City na kutoka sare ya 1-1 na kupata kufuzu kwa Ligi ya Europa kwa mara ya kwanza. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 19 alifunga bao la kustaajabisha katika ushindi wa timu yake dhidi ya Chelsea mwezi uliopita na…
INAELEZWA kuwa uongozi wa Yanga umeanza mazungumzo na Klabu ya Sekhukhume ya Afrika Kusini ili kufikia makubaliano ya kumuuza Feisal Salim. Kiungo huyo mali ya Yanga yupo kwenye mvutano na mabosi wa timu hiyo ambayo Mei 28 itacheza fainali ya kwanza ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya USM Alger ya Algeria. Taarifa zumeeleza kuwa…
IMEELEZWA kuwa winga Leandre Onana mwenye miaka 23 mali ya Rayon Sports ya Rwanda yupo kwenye hesabu za mabosi wa Simba. Timu hiyo imekosa taji la Ligi Kuu Bara ambao upo mikononi mwa Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi. Nyota huyo ni winga ametupia mabao 15 na pasi 10 za mabao ametoa ndani ya…
KOCHA wa Waarabu aipa Yanga Kombe, Robertinho atembea na faili jipya la usajili ndani ya Spoti Xtra Alhamisi
MAJEMBE saba yanayovuja jasho la haki ndani ya kikosi cha Simba yamewapa kicheko Simba wakiamini kuwa hawajabahatisha kupenya kwenye orodha ya kuwania tuzo bali ubora umewabeba. Ipo wazi kwamba Yanga ni mabingwa wa msimu wa 2022/23 huku Simba ikigotea nafasi ya pili. Pia Yanga Mei 28 2023 inakwenda kucheza mchezo wa fainali ya Kombe la…
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila ameunga mkono hamasa ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kununua tiketi 1,000 za mchezo wa fainali kati ya Yanga dhidi ya USM Alger. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Jumapili ambapo hamasa zimeendelea kwa sasa mpaka Mei 28 siku ya mchezo. Rais Samia amekuwa…
INJINIA Hersi Said amefungukia ishu ya sakata la mkataba wa kiungo Feisal Salum pamoja na hatma yake ndani ya Yanga
NICKSON Kibabage nyota wa Singida Big Stars anatajwa kuwa katika rada za Simba. Beki huyo ni chaguo la kwanza la Kocha Mkuu, Hans Pluijm ndani ya timu hiyo inayoshiriki Ligi Kuu Bara. Ni mabao manne ametupia ndani ya ligi Kati ya 32 yaliyofungwa na timu hiyo iliyo nafasi ya nne na pointi 51. Akiwa ndani…
MTIBWA Sugar mkia wao wanaokula ni mgumu kutokana na kuwa ni namba moja kwa timu iliyotunguliwa mabao mengi zaidi ndani ya ligi. Yanga na Simba zinaogoza kwa timu ambazo zimefungwa mabao machache msimu huu wa 2022/23 baada ya mechi 28. Yanga imefungwa mabao 15 sawa na yale ambayo imefungwa Simba. Timu zote zikiwa zimecheza jumla…
MKATA umeme anakuja Simba, Chivaviro ni Mwananchi ndani ya Championi Jumatano
MASTAA wanne Bongo wakali wakutupia kwa kutumia mguu ule wa kulia. Ipo wazi kwamba Yanga wamesepa na taji la ligi baada ya kufikisha pointi 74 mkononi wana mechi mbili. Fiston Mayele katupia mabao 12 akitumia mguu wa kulia yupo zake ndani ya Yanga. Mayele ni namba moja kwa kutupia akiwa na mabao 16 kibindoni. Jeremiah…
IKIWA imetoka kupoteza mchezo wake uliopita dhidi ya Polisi Tanzania tayari Mtibwa Sugar wameanza hesabu kwenye mchezo dhidi ya Kagera Sugar. Vinara wa ligi ni Yanga wakiwa wameshatwaa ubingwa walipokutana na Mtibwa Sugar, ubao wa Uwanja wa Manungu ulisoma Mtibwa Sugar 0-1 Yanga. Mei 15,2023 ubao wa Uwanja wa Ushirika Moshi ulisoma Polisi Tanzania 3-1…
WACHEZAJI wa Simba kesho Mei 24 wanatarajiwa kuwasili kambini kwa ajili ya maandalizi ya mechi za Ligi Kuu Bara. Timu hiyo chini ya Kocha Mkuu, Roberto Oliveira na Juma Mgunda wana kazi ya kuongoza kikosi hicho kwenye mechi mbili. Kutinga fainali kwa Yanga kwenye Kombe la Shirikisho Afrika kumefanya mabadiliko hayo ndani ya ligi. Ikumbukwe…