WATATU WATAMBULISHWA NDANI YA SIMBA

KATIKA maboresho ya benchi la ufundi kikosi cha Simba kimeongeza watu watatu Kwa ajili ya msimu wa 2023/24. Ni Corneille Hategekimana huyu ni kocha mpya wa viungo ndani ya Simba yeye ni raia wa Rwanda na amewahi kufanya kazi ndani ya Vipers. Pia Daniel Cadena ambaye alikuwa ndani ya Azam FC huyu atakuwa ndani ya…

Read More

UBAYA UBWELA NOMA SANA KUIBUKA KWA MKAPA

WAKATI uzi mpya wa Simba uliozinduliwa Julai 24 ukizidi kuwa gumzo kila kona kutokana na ubunifu wake pamoja na nembo ambazo zimetumika uongozi wa timu hiyo umebainisha kuwa ubaya ubwela hautaishia kwenye uzi pekee bali mpaka mechi zao zote kazi ipo palepale. Miongoni mwa mechi ambazo zinasubiriwa kwa shauku kubwa kwa sasa ni Kariakoo Dabi…

Read More

KIUNGO WA KAZI AREJEA NDANI YA KIKOSI CHA SIMBA

KIUNGO wa kazi ndani ya Simba, Hassan Dilunga amerejea kwenye uwanja wa mazoezi baada ya kuwa nje kwa muda mrefu akipambania afya yake. Nyota huyo aliumia kwenye mazoezi wakati timu hiyo ilipokuwa kwenye maandalizi ya mechi zake za ushindani. Taarifa iliyotolewa na Simba imeeleza kuwa HD amerejea ndani ya kikosi hicho baada ya kupona. Hivi…

Read More

SIMBA KUTUA BONGO LEO WAKITOKEA AFRIKA KUSINI

BAADA ya kupoteza mbele ya Orlando Pirates wawakilishi wa Tanzania katika Kombe la Shirikisho Afrika leo Aprili 25 wanarejea. Ni jana Aprili 24 ulipigwa mpira wa kazi na dk 45 Simba walikuwa imara katika eneo la ulinzi huku lile la ushambuliaji ikiwa ni hafifu kwa kuwa walikuwa wakitengeneza mashambulizi ya kushtukiza. Dakika ya 58 alipoonyeshwa…

Read More

WAAMUZI HAKI MUHIMU KUZINGATIA KWENYE MAAMUZI

TARATIBU dawa inazidi kuingia kwenye kidonda ambacho kinaendelea kupona. Licha ya kuendelea kwa maumivu ambayo mgonjwa anapata bado inatakiwa umakini kwenye uangalizi. Ni mzunguko wa kwanza wenye ushindani mkubwa kwa kila timu kuonyesha shauku ya kupata ushindi. Ipo wazi kwamba hakuna anayependa kupoteza mchezo na kasi inaonekana. Kwa namna kasi ilivyo basi ni muhimu kwa…

Read More

SIMBA YABAINISHA SABABU ZA KUMCHIMBISHA PABLO

MABOSI Simba  wameweka wazi kwamba kushindwa kutimiza yale aliyosaini kwenye mkataba ni sababu iliyofanya kufutwa kazi kwa Pablo Franco aliyekuwa Kocha Mkuu wa Simba. Mei 31,Simba kupitia kwa Mtendaji Mkuu, Barbara Gonzalez waliweka wazi kwamba wamefikia makubaliano ya kuachana na Pablo kwenye nafasi hiyo na timu kwa sasa ipo chini ya Seleman Matola ambaye ni…

Read More

YANGA YAIPIGIA HESABU NDEFU REAL BAMAKO

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa unahitaji kuvunja rekodi ya mabao waliyowafunga TP Mazembe kwenye mchezo wa kimataifa. Timu hiyo ikiwa chini ya Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi Machi 8 in kibarua cha kusaka pointi tatu dhidi ya Real Bamako ambapo mchezo wao uliopita waligawana pointi mojamoja nchini Mali. Ofisa Habari wa Yanga, Ally Kamwe amesema…

Read More

GEITA GOLD YAIPIGIA HESABU SIMBA

KOCHA Mkuu wa Geita Gold, Dennis Kitambi ameweka wazi kuwa anatambua mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba utakuwa na ushindani mkubwa lakini wapo tayari kusaka pointi tatu muhimu. Mchezo huo ni mzunguko wa pili ambapo kwenye mchezo wa mzunguko wa kwanza baada ya dakika 90 ubao ulisoma Geita Gold 0-1 Simba. Simba…

Read More

Azam FC 2-0 Tanzania Prisons, hali ni tete

Azam FC 2-0 Tanzania Prisons, hali ni tete kwa wajelajela kutokana na mwendo usiofurahisha ndani ya Ligi Kuu Tanzania Bara inayodhaminiwa na NBC Premier League. Baada ya dakika 90, Mei 22, 2026 ubao wa Uwanja wa Azam Complex ulisoma Azam FC 2-0 Tanzania Prisons, magoli ya Feisal Salum dakika ya 15 na Idd Nado dakika…

Read More