
SIMBA V NAMUNGO HAIJAWAHI KUWA RAHISI
KITAUMANA leo kwa wababe wawili ndani ya uwanja kusaka pointi tatu muhimu kwenye mchezo wa ligi unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Uhuru. Ni Simba watakuwa nyumbani wakiikaribisha Namungo wauaji wa kusini kwenye mchezo unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa na haitakuwa kazi rahisi kwa wote jasho litamwagika. Hapa tunakuletea baadhi ya hesabu zitakazoongeza ugumu kwa timu zote…