Home Sports MAN UTD YACHAPIKA TENA UEFA, RASHFORD APEWA KADI NYEKUNDU

MAN UTD YACHAPIKA TENA UEFA, RASHFORD APEWA KADI NYEKUNDU

Manchester United iliyokuwa pungufu ya mchezaji mmoja baada ya Marcus Rashford kuoneshwa kadi nyekundu imekubali kichapo cha 4-3 dhidi ya wenyeji FC Copenhagen katika dimba la Parken, Copenhagen.

FT: FC Copenhagen 🇩🇰 4-3 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Man United
⚽ Elyounoussi 45′
⚽ Goncalves 45+9′
⚽ Lerager 83′
⚽⚽ Højlund 2′ 27′
⚽ Bruno (P) 69′
🟥 Rashford 42′

Manchester United wanakabiliwa na wakati mgumu kufuzu hatua ya 16 bora wakiwa mkiani mwa kundi A alama 3 kwenye mechi 4.

1. 🇩🇪 Bayern (12)
2. 🇩🇰 FC Copenhagen (4)
3. 🇹🇷 Galatasaray (4)
4. 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Man United (3)

Man United inahitaji kushinda mechi mbili za mwisho ugenini dhidi ya Galatasaray na nyumbani dhidi ya kinara Bayern Munich.

Previous articleCOASTAL UNION WAPOTEZA POINT MBELE YA YANGA
Next articleLAKINI SIMBA MNA UHAKIKA TATIZO NI ROBERTINHO?