
AZAM FC WAJIKITA NAMBA MOJA, NADO AFANYA YAKE
MATAJIRI wa Dar, Azam FC wameendelea kujikita kuwa namba moja kwenye msimamo baada ya kukomba ponti tatu mbele ya JKT Tanzania. Kwenye mchezo uliochezwa Desemba 11 2023 Uwanja wa Azam Complex unakuwa ni ushindi wa tano mfululizo ndani ya Ligi Kuu Bara Mabao ya Azam FC yalifungwa na Sospeter Bajana dakika ya kwanza likawekwa usawa…