


MTAMBO WA KAZI NDANI YA YANGA NI NOMA
IPO wazi kuwa mtambo wa kazi uliotambulishwa ndani ya Yanga ni noma kutokana na majukumu yake kuwarahisishia kazi benchi la ufundi la timu hiyo. Miguel Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga ameongezewa mtu mwingine wa kazi kwaajili ya kuongeza nguvu kwenye kusaka ushindi. Ni Mpho Maruping kutoka Afrika Kusini ambaye Desemba 14 alitambulishwa rasmi kuwa ni …

USIPOSHINDA LEO NA MECHI ZA EUROPA UTASHINDA LINI?
Meridianbet inasema hivi, kama usiposhinda leo hii unataka ukashinde tena lini na wapi kama sio hapa?. Tengeneza jamvi lako leo Bayer Leverkusen, Brighton, Ajax, Real Betis na wengine wanataka kukupa pesa. Muda ndio huu ingia na ubashiri na mabingwa meridianbet. Ushindi unaanzia hapa kwa vijana wa Jose Mourinho AS Roma ambao watakuwa wakiumana dhidi ya…

ANAKUJA MSHAMBULIAJI WA KAZI NDANI YA YANGA
ANAKUJA mshambuliaji wa kazi ndani ya kikosi cha Yanga kwa ajili ya kuongeza nguvu eneo la ushambuliaji katika kikosi hicho kwa kuwa baada ya kuondoka Fiston Mayele bado Yanga imekuwa ikipambana kumpata mbadala wake.

BENCHIKHA ASHUSHA MASHINE YA KAZI SIMBA, YANGA YATANGAZA BALAA
BENCHIKHA ashusha mashine ya kazi Simba, Yanga yatangaza balaa


KAGERA SUGAR KAMILI GADO KUIVAA SIMBA
BENCHI la ufundi la Kagera Sugar limebainisha kuwa linafanyia kazi makosa kwenye mechi zao zilizopita ili kupata matokeo katika mechi zijazo. Mchezo wao ujao kwenye ligi ni dhidi ya Simba unatarajiwa kuchezwa Desemba 15 na kikosi hicho kinaendelea na mazoezi Uwanja wa Uhuru. Marwa Chamberi, Kocha msaidizi wa Kagera Sugar amesema kuwa walipata muda wa…

MFALME MWINGINE HUYU HAPA 888STARZ JIUNGE NAYE
JINSI YA KUJIUNGA NA 888STARZ Jiunge na kampuni inayofanya vizuri kwenye mpango mzima wa ubashiri na ubashiri kama Mfalme. Pata bonasi ya TSH 335,000 bure kwa kutumia Promo code: CHAMA kwenye Deposit ya Kwanza. Ni rahisi sana jinsi ya Kujisajili na 888starz Tanzania! Bonyeza link upakue App https://aff1ect8.com/9sQk4Q Kisha bonyeza Registration by One-click Kisha kwenye…

NGAO YA JAMII IWE MWANZO WA MAANDALIZI KITAIFA NA KIMATAIFA
TUMESHUHUDIA namna maendeleo kwenye sekta ya soka la Wanawake Tanzania namna yanavyopiga hatua kila iitwapo leo. Kwa wakati huu ni Simba Queens walitangazwa kuwa mabingwa wa Ngao ya Jamii Wanawake kwenye fainali iliyohusisha timu nne pale Uwanja wa Azam Complex. JKT Queens wanakuwa washindi wa pili huku Yanga Princess wao wakiwa ni washindi wa tatu…

MOTO UTAWAKA KUNDI F LIGI YA MABINGWA ULAYA LEO
Moto unakwenda kuwaka leo katika ligi ya mabingwa ulaya leo haswa kwenye kundi F ambalo wengi waliamua kuliita kundi la kifo kutokana na ugumu ambao upo kwenye kundi hilo na Meridianbet hawako nyuma kwani wametoa ODDS KUBWA kwenye michezo hiyo. Kundi F linaundwa na timu kama PSG, Newcastle United, Ac Milan, na Borussia Dortmund ambapo…

KIMATAIFA KAZI KUBWA IFANYIKE, INAWEZEKANA
SIO Yanga wala Simba kwenye anga la kimataifa hakuna mwenye kazi nyepesi kutokana na mechi zao wote kuwa ngumu katika hatua ya makundi. Tumeshuhudia namma mechi za kimataifa wapinzani walivyo wagumu na mechi ni ngumu. Hii inatokana na aina ya wachezaji pamoja na timu husika kuwa na mipango kazi ofauti na ile ambayo imezoeleka kwenye ligi ya…
UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATANO
UKURASA wa mbele gazeti la Championi Jumatano

MASTAA HAWA YANGA HABARI NYINGINE KIMATAIFA
MASTAA wa Miguel Gamondi Kocha Mkuu wa Yanga kwenye mechi za Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi wakiongozwa na Pacome Zouzoua, Maxi Nzengeli, Kennedy Musonda ni habari nyingine. Nyota hao ushirikiano wao umekuwa na matokeo chanya katika mechi mbili zilizopita za Ligi ya Mabingwa Afrika ambazo ni dakika 180 nyumbani na ugenini. Katika mchezo…

KAGERA SUGAR HASIRA KWA SIMBA
KLABU ya Kagera Sugar inayotumia Uwanja wa Kaitaba kwa mechi zake za nyumbani hasira zake kwa sasa ni kuelekea mchezo wao ujao dhidi ya Simba. Kagera Sugar inatarajiwa kusaka pointi tatu mbele ya Simba Desemba 15 katika msako wa pointi tatu muhimu. Desemba 9 Kagera Sugar walishuhudia ubao wa Uwanja wa Mkwakwani, Tanga ukisoma Coastal…

BOSI SIMBA AMEFAFANUA NAMNA WATAKAVYOTUSUA CAF
AHMED Ally Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba amesema kuwa bado kuna nafasi ya timu hiyo kutinga hatua ya robo fainali licha ya matokeo ambayo hayajawa mazuri kwao. Kwenye mechi tatu ambazo Simba imecheza hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika imeambulia pointi mbili ikipoteza mchezo mmoja jambo ambalo linaongeza ugumu kwa timu…
PUMZIKA KWA AMANI NISHER
MTAYARISHA wa video za muziki Bongo, Nic Davie maarufu kwa jina la Director Nisher amefariki dunia usiku wa kuamkia leo, saa nane na dakika tisa. Taarifa za kifo cha Nisher zimethibitishwa na familia yao, ambapo kupitia akaunti za mitandao ya kijamii, wameandika. “Familia ya Nabii Mkuu, Dkt. Geordavie inasikitika kutangaza kifo cha kijana wao mpendwa,…

KUPASUA MPUNGA NI RAHISI LEO UEFA NDANI YA MERIDIANBET
Helloooo! Unajua nini Desemba ndio hii hapa na mechi za mwisho za ligi ya mabingwa kwa hatua ya mtoano zinamalizika hapa ambapo mechi hizo zimepewa ODDS KUBWA na za maana na meridianbet wamezingatia machaguo mengi sana. Ingia na uanze kutengeneza jamvi lako hapa. Tuanzie kule Ufaransa ambapo RC Lens watakuwa wenyeji wa Sevilla kutoka Hispania…