
KIUNGO WA SIMBA JEAN AHOUA BADO HAJAELEWEKA
NDANI ya kikosi cha Simba mtambo wa kutengeneza mabao ni Jean Ahoua ambaye haeleweki kutokana na kiwango chake kuwa cha kupwa na kujaa lakini ni chaguo la kwanza la Kocha Mkuu, Fadlu Davids. Ipo wazi kwamba Simba kwenye ligi ni namba moja katika msimamo ikiwa na pointi 40 baada ya kucheza mechi 15 ni namba…