ANASEPA SIMBA MTAMBO WA MAPIGO HURU NTIBANZOKIZA

TAARIFA zinaeleza kuwa mtaalamu wa mapigo huru ndani ya kikosi cha Simba Saido Ntibanzokiza anasepa katika kikosi hicho kwenda kupata changamoto mpya sehemu nyingine huku mabosi wa Simba wakiwa kwenye hesabu za kumvuta kiungo mwingine wa kazi. Nyota huyo amekuwa kwenye kiwango bora katika mechi zote anazopewa nafasi ya kuanza licha ya wengi kueleza kuwa…

Read More

LEO ZAWADI ZINAFUNGULIWA MERIDIANBET TU

Sikiliza ogopa matapeli sehemu ya kufungulia zawadi leo ipo moja tu na sio nyingine ni pale Meridianbet ambao michezo mbalimbali imesheheni na ikiwa imepewa ODDS KUBWA na za kibabe kabisa. Mabingwa hao wa michezo ya kubashiri wana kazi moja tu leo nayo ni kuhakikisha wateja wake wanafungua zawadi kwa shangwe katika siku ya Boxing day,…

Read More

ZANZIBAR HEROES V KILIMANJARO STARS KAZINI

KESHO Jumatano, Timu ya Taifa ya Zanzibar, Zanzibar Heroes, itacheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Timu ya Taifa ya Tanzania Bara, Kilimanjaro Stars. Mchezo huo maalum kwa ajili ya ufunguzi wa Uwanja wa Amaan uliopo Unguja, Zanzibar, baada ya kufanyiwa maboresho makubwa. Katika kuelekea mchezo huo utakaochezwa saa 2 usiku, Kocha wa Kilimanjaro Stars, Adel…

Read More

HAPA NDIPO WANAPOFUNGIA AZAM FC

KLABU ya Azam FC inakwenda kufunga mwaka 2023 wakiwa ni namba moja kwenye msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Chini ya Kocha Mkuu Yusuph Dabo kikosi cha Azam FC kimekuwa kwenye mwendo wa dhahabu na kupata matokeo kwenye mechi walizokuwa wanacheza. Mchezo wake wa mwisho ndani ya 2023 walikomba pointi tatu ugenini ilikuwa ni Desemba…

Read More

BENCHIKHA AFUATA WINGA NIGERIA

INAELEZWA mabosi wa Simba wapo kwenye mazungumzo na winga wa klabu ya Sporting Lagos ya Nigeria, Jonathan Alukwu kufuatia maagizo ya kocha mkuu wa timu hiyo, Abdelhak Benchikha katika usajili wa dirisha dogo. Taarifa za uhakika zilizotufikia Championi Ijumaa kutoka ndani ya klabu hiyo zinasema kuwa klabu hizo mbili zimeanza mazungumzo hayo na nyota huyo…

Read More

AZAM FC WANABALAA HAO

KASI ya Azam FC kwenye kukomba pointi tatu ndani ya Ligi Kuu Bara msimu wa 2023/24 weka mbali na watoto kutokana na kuendeleza ushindi kila wanaposhuka uwanjani. Ikumbukwe kwamba baada ya kucheza mechi 13 ni mechi mbili pekee ilipoteza ilikuwa dhidi ya Yanga Uwanja wa Mkapa na dhidi ya Namungo, Uwanja wa Mkapa na ilipata…

Read More

MWAMBA LUSAJO ANASEPA NAMUNGO

NYOTA Reliants Lusajo ameandika ujumbe kwenye ukurasa wake wa Instagram wa kuiaga familia yake ya Namungo alikokuwa akipambania majukumu yake. Namungo inashiriki Ligi Kuu Bara inatumia Uwanja wa Majaliwa kwa mechi za nyumbani. Dirisha dogo la usajili tayari limefunguliwa tangu Desemba 16 na wachezaji wanatoka na kuingia kwenye klabu tofauti ambapo ameweka wazi kwamba anakwenda…

Read More

UGOMVI UWEKWE KANDO, LIGI IENDELEE

USHINDANI ambao unaendelea kwenye Ligi Kuu Bara unazidi kuonyesha namna ukomavu wa soka letu linavyozidi kukua kila iitwapo leo. Kuna mengi ya kuendelea kuyaboresha ili ligi izidi kuwa imara zaidi. Kwa upande wa wachezaji pamoja na sehemu ambayo inaamua matokeo yenyewe ikiwa ni uwanja. Ubora wa uwanja ni daraja kubwa kwa kuendeleza kutoa burudani ambapo…

Read More

SINGIDA FOUNTAIN GATE: USHINDANI NI MKUBWA

KOCHA msaidizi wa  Singida Fountain Gate Thabo Senong ameweka wazi kuwa ushindani ndani ya ligi ni mkubwa kutokana na kila timu kuhitaji ushindi ndani ya uwanja. Timu hiyo baada ya kucheza mechi 14 kibindoni ina pointi 20 huku safu yake ya ushambuliaji ikiwa imetupia jumla ya mabao 17. Desemba 21 ilikuwa siku mbaya kazini kwa…

Read More

YANGA WANA BALAA HAO, AZIZI KI HASHIKIKI

NDANI ya Ligi Kuu Bara Yanga wana balaa kwenye msako wa pointi tatu huku nyota wao Aziz KI akiwa hashikiki kwenye kucheka na nyavu. Kasi yake imekuwa katika ubora ambapo alitoka kufunga mabao mawili kwenye mchezo uliopita dhidi ya Mtibwa Sugar na Desemba 23 alifunga tena bao moja pekee ambalo liliipa pointi tatu muhimu Yanga….

Read More

SIMBA YATUMA UJUMBE HUU KMC

BENCHI la ufundi la Simba limeweka wazi kuwa litaingia kwa tahadhari kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya KMC unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex. Simba ilitoka kupata ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Kagera Sugar kwenye mchezo wao uliopita wa ligi ambapo mabao yalifungwa na Saido Ntibanozkia, Sadio anoute na John Bocco. Leo…

Read More