
YANGA KUFANYA KAZI KUBWA
UONGOZI wa Yanga umebainisha kuwa utafanya kazi kubwa kufanikisha malengo ya kutwaa ubingwa ambao upo mikononi mwao waliotwaa msimu wa 2022/23. Chini ya Miguel Gamondi Yanga ilitoka kupata ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Mtibwa Sugar mchezo uliochezwa Uwanja wa Azam Complex. Kinara wa utupiaji wa mabao ni Aziz KI ndani ya Yanga na ligi…