
AMEPEWA RUNGU SIMBA MWAMBA HUYU KWENYE USAJILI
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa watakuwa bega kwa bega na benchi la ufundi ndani ya timu hiyo katika kila jambo ikiwa ni pamoja na masuala ya usajili ili kuboresha timu hiyo ambayo haijawa kwenye mwendo bora.