HAALAND YUKO NJIANI KUTENGENEZA REKODI YAKE

MSHAMBULIAJI wa Manchester City Erling Haaland yuko njiani kutengeneza rekodi zake binafsi bora zaidi katika historia ya Premier League. Haaland ana umri wa miaka 22 tu na tayari amezoea ligi na nchi mpya kwa haraka sana sasa anafurahia msimu wake wa kwanza bora akiwa na Man City chini ya Kocha Pep Guardiola. Man City bado…

Read More

LIVERPOOL BADO WANAJITAFUTA HUKO

LIVERPOOL wamekuwa wakijitafuta kwa muda na sasa wanaonekana kurejea kwenye makali yao hiyo ni baada ya wikiendi iliyopita kutoka nyuma na kushinda mabao 3-1 dhidi ya Wolves 3-1 ugenini huko Molineux. Msimu uliopita ilikuwa mara ya kwanza kwa Liverpool kushindwa kufuzu kwa Ligi ya Mabingwa Ulaya ambapo Kocha Mkuu Jurgen Klopp amekuwa kwenye usukani kwa…

Read More

ISHU YA UFUNGAJI BORA MAYELE AFUNGUKIA

KINARA wa mabao wa Ligi Kuu Bara, Mkongomani Fiston Mayele ameibuka na kumwambia mpinzani wake wa Geita Gold, George Mpole hatakubali akiache kiatu cha ufungaji bora msimu huu. Kauli hiyo ameitoa mara baada ya kufunga mabao mawili na kufikisha mabao 16 katika ufungaji huku mpinzani wake akifunga 15. Mkongomani huyo alifunga mabao hayo katika mchezo…

Read More

YACOUBA AANZA MAZOEZI YANGA

NI habari njema kwa mashabiki wa Yanga baada ya kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Yacouba Songne raia wa Burkina Faso kuanza mazoezi mepesi, huku akitarajiwa kurejea rasmi uwanjani baada ya mwezi mmoja kama hakutakuwa na mabadiliko yoyote. Yacouba alipata majeraha ya goti kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ruvu Shooting uliochezwa Novemba 2, mwaka huu kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar na Yanga kushinda 3-1. Baada ya…

Read More

WINGA HUYU WA KAZI AWEKWA RADA ZA YANGA

IMEELEZWA kuwa mabosi wa Yanga wanamtazama kwa ukaribu kiungo wa ASEC Mimosas ya Ivory Coast, Aziz Ki ili waweze kupata saini yake. Nyota huyo pia anatajwa kuingia kwenye rada za Simba ambao nao pia wanahitaji kumpata kwa ajili ya msimu mpya. Nyota huyo ni raia wa Burkina Faso aliweza kufanya vizuri akiwa na timu yake…

Read More

NABI AKOMAA KUUNDA PACHA MPYA YA MAYELE

IMEELEZWA kuwa Kocha Mkuu wa Yanga raia wa Tunisia, Nasreddine Nabi, usiku na mchana anapambana kutengeneza uwiano wa Fiston Mayele, Heritier Makambo na Yusuf Athumani ili aweze kuwatumia pamoja. Licha ya Yanga kuendelea kuwa kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Bara, ikiwa na pointi zake 36, ambazo imezikusanya baada ya kucheza mechi 14, imefunga mabao…

Read More

AZAM FC WAJA NA AZAMKA

UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kuwa msimu huu wanakuja tofatauti katika tamasha lao ambapo litakuwa mikononi mwa mashabiki.  Thabit Zakaria,Ofisa Habari wa Azam FC amesema kuwa watakuwa na tamasha maalumu linalokwenda kwa jina la AZAMKA ambalo ni kwa ajili ya kuwatambulisha wachezaji wao lakini watakaoandaa mpango kazi ni mashabiki wa Azam FC. Kwa sasa…

Read More

JOASH ONYANGO NDANI YA CHANGAMOTO MPYA

JOASH Onyango beki wa Simba rasmi kwa msimu wa 2023/24 atakuwa kwenye changamoto mpya na timu mpya ndani ya Singida. Nyota huyo mkataba wake na Simba unatarajiwa kumeguka msimu ujao na mabosi wa Simba wamefikia makubaliano ya kumtoa kwa mkopo kuelekea Singida Fountain Gate. Atakuwa ndani ya Singida Fountain Gate kwa mkopo msimu wa 2023/24…

Read More