
PANGA LINAPITA SIMBA, MASTAA HAWA KUKUTANA NALO
MPANGO mkubwa wa Simba ni kupata matokeo mazuri kwenye mechi ambazo wanacheza. Kutokana na mwendo wao wa kusuasua kuna panga lnatarajiwa kupita kwenye dirisha dogo huku baadhi ya nyota wakitajwa kuwa kwenye mpango wa kupewa mkono wa asante.