KIGOGO YANGA AWEKA MKATABA WA BERNARD MORRISON MEZANI

IMEELEZWA kuwa, kigogo mwenye ushawishi wa fedha na usajili ndani ya Yanga, amewaita Kamati ya Utendaji ya klabu hiyo kwa ajili ya kujadili hatima ya kumpa mkataba kiungo Mghana, Bernard Morrison. Kiungo huyo hivi sasa yupo katika mgogoro na mabosi wake wa Simba ambapo wiki iliyopita walitangaza kumsimamisha kwa makosa ya utovu wa nidhamu. Mghana…

Read More

YUSUPH MHILU WA SIMBA ASAINI KAGERA SUGAR

MSHAMBULIAJI Yusuph Mhilu amepewa dili la mwaka mmoja kuweza kuitumikia Klabu ya Kagera Sugar. Ni mwaka mmoja ameweza kusaini kuitumikia timu hiyo inayoshiriki Ligi Kuu Bara na inatumia Uwanja wa Kaitaba. Atakuwa hapo kwa mkopo kwa kuwa alisaini dili la miaka mitatu Simba na ametumia mwaka mmoja. Msimu uliopita wa 2021/22 hakuwa chaguo la kwanza…

Read More

ARSENAL GARI IMEWAKA HUKO

AARON Ramsdale kipa wa Arsenal aliweza kuwa imara akiwa langoni wakati timu yake iliposhinda mabao 2-0 dhidi ya Leicester City uliochezwa Uwanja wa King Power. Ilikuwa ni mabao ya Gabriel Magalhaes ilikuwa dakika ya 5 na lile la pili lilipachikwa na Emule Smith Rowe dakika ya 18 na kuipa pointi tatu timu hiyo inayonolewa na…

Read More

ORODHA YA WACHEZAJI SIMBA AMBAO HAWAPO FITI

WAKIWA kwenye mbio za kujinasua kutoka nafasi ya tatu waliyodumu kwa muda mrefu msimu wa 2023/24 orodha ya wachezaji ambao hawapo fiti imeongezeka. Aprili 30 kwenye funga Aprili waliambulia sare ugenini huku wakikosa huduma za nyota wao ambao wapo kwenye program maalumu kurejea kwenye ubora wao. Wakati ubao ukisoma Namungo 2-2 Simba wakigawana pointi mojamoja…

Read More

WASHINDI WA MKWANJA WA JACKPOT WAVUNA MINOTI

WASHINDI wa Jackpot bonus ya Kampuni ya SportPesa wamezidi kujazwa minoti baada ya kupata ushindi katika ubashiri wao waliofanya. Hawa ni Washindi wa Jackpot bonus kutoka kushoto Mohammed O. Mohammed, Deo Nehemia Msemwa na Yona Teremia Nyasomba wakishikilia mfano wa hundi ya shilingi 5,003,220 ambapo kila mmoja ataondoka na kiasi hicho mara baada ya kubashiri kwa…

Read More

USHINDANI KWENYE LIGI KUU BARA UENDELEE

MZUNGUKO wa kwanza bado unaendelea kwa sasa ndani ya Ligi Kuu Bara. Ikumbukwe kwamba kwa sasa timu nyingi zinapambana kufanya vizuri na kupata matokeo ndani ya uwanja. Kila timu inafanya vizuri ndani ya dakika 90 kusaka ushindi. Kushindwa kufanya vizuri kwenye mechi husika haina maana kwamba kazi itakuwa imekwisha hapana ni muhimu kupambana zaidi kwa…

Read More

MSAFARA WA SIMBA KUREJEA DAR

BAADA ya kumaliza kazi kwenye mechi mbili za kirafiki ambazo walialikwa nchini Sudan na Klabu ya Al Hilal, kikosi cha Simba leo Septemba Mosi kinatarajiwa kurejea Dar. Timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Zoran Maki iliweza kupata matokeo kwenye mchezo mmoja chanya na mwingine waliweza kupata matokeo hasi.  Kwenye mchezo wa kwanza walipata ushindi wa…

Read More

BEKI WA KAZI YANGA KUWAKOSA WAARABU LEO

KWENYE mchezo wa leo wa Kombe la Shirikisho kati ya Club Africain v Yanga mwamba Djuma Shaban hatakuwa sehemu ya kikosi.  Sababu kubwa ya nyota huyo kuwekwa kando kuwakabili Waarabu wa Tunisia ni kutokuwa fiti baada ya kupata maumivu kwenye mchezo wa kwanza. Yanga ina kibarua cha kusaka ushindi nchini Tunisia baada ya ule mchezo…

Read More

AZAM FC KWENYE KISASI KIMATAIFA

UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kuwa wachezaji wapo tayari kwa mchezo wa leo wa kimataifa dhidi ya Bahir Dar Kenema ya Ethiopia. Ikumbukwe kwamba ni timu nne ambazo zinashiriki Ligi Kuu Bara zinaipeperusha bendera anga la kimataifa ikiwa ni Yanga na Simba hizi ni kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika. Singida Fountain Gate na Azam…

Read More