
MASTAA WA SIMBA KIMATAIFA WAMEVUJA JASHO NAMNA HII
MASTAA wa Simba kwenye anga la kimataifa Ligi ya Mabingwa Afrika wamevuja jasho mwanzo mwisho kupambania kombe na hapa tunakuletea dakika zao huku kwa upande wa makipa mwamba Ayoub Lakred amekuwa akipeta eneo hilo