
SIMBA WANAKAZI NGUMU KIMATAIFA, HAPA WALIKWAMIA
MBELE ya Al Ahly, Simba walipoteza nafasi nyingi na mwisho kupoteza kwa kufungwa bao 1-0 Uwanja wa Mkapa huku Kibu Dennis akiwa katika ubora akiwa na kila kitu kasoro umaliziaji tu hapo ndo pasua kichwa. Simba wanakazi ngumu yakufanya kimataifa kwa kuwa wanatambua Al Ahly wakiwa kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika huwa wanabadilika ni kweli…