
YANGA KAZI INAENDELEA, KETE YAO YA KWANZA HII HAPA
MCHEZO wa kwanza wa Yanga kwenye ushindani ndani ya msimu wa 2023/24 ni dhidi ya Azam FC. Huu utakuwa mchezo wa ufunguzi katika hatua ya Ngao ya Jamii ikiwa ni mfumo mpya utatumika. Ni mwendo kama wa ligi na timu nne zitashiriki zile zilizogotea nafasi nne za juu ikiwa ni Yanga ambao ni namba moja,…