
FOUNTAIN GATE: SINGIDA BLACK STARS ANAPIGWA TATU, HATOKI
OFISA Habari wa Fountain Gate, Issa Liponda maarufu kwa jina la Mbuzi amesema kuwa hakuna namna yoyote anayoona kwa wapinzani wao Singida Black Stars wakitoka kwenye mchezo wao wa ligi unaotarajiwa kuchezwa Aprili 2 2025. Ni Uwanja wa Tanzanite, Kwaraa, Manyara mchezo huo unatarajiwa kuchezwa saa 10:15 kwa wababe hawa wawili kusaka pointi tatu muhimu…